Boston ndiyo mji mkuu katika jimbo la Massachusetts.
Mji una wakazi wapatao 7,514,759 na hiyo ni kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007.
Boston | |||
| |||
Mahali pa mji wa Boston katika Marekani | |||
Majiranukta: 42°19′18″N 71°5′21″W / 42.32167°N 71.08917°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Massachusetts | ||
Wilaya | Suffolk | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 608,352 | ||
Tovuti: www.cityofboston.gov |
Mji uko futi 141 juu ya usawa wa bahari.
Mji ulianzishwa tarehe 17 Septemba katika mwaka wa 1630.
Boston iliundwa na walowezi Waprotestanti kutoka Uingereza waliotafuta uhuru wa kidini. Walichagua rasi ndogo kwenye pwani ya hori ya Massachusetts.
Mji ukakua kuwa mji mkubwa katika makoloni ya Uingereza katika Amerika ya Kaskazini.
Katika karne ya 18 Boston ulikuwa kitovu cha upinzani wa walowezi dhidi ya kodi mpya za Uingereza na vita ya uhuru wa Marekani ilianza hapa mjini na katika vijiji karibu nao.
Miji mikuu ya majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Massachusetts bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Boston, Massachusetts kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Boston, Massachusetts, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.