Walter Elias Disney (5 Desemba 1901 - 15 Desemba 1966) alikuwa mtayarishaji, mwongozaji na mwanakatuni maarufu wa Marekani.
Akiwa pamoja na ndugu yake aitwaye Roy Disney, walifanikiwa kuanzisha kampuni ya Walt Disney Productions (sasa hivi inaitwa The Walt Disney Company).
Disney anafahamika zaidi kwa kubuni katuni zake zilizo maarufu, Mickey Mouse. Minnie Mouse na Pluto vilevile ni ubunifu wake kwa jumla na ujinga ujinga mwingine.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Walt Disney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Walt Disney, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.