Dolar Ya Marekani

Dolar ya Marekani (pia: dola, US-Dollar, kifupi USD) ni pesa halali ya Marekani.

Alama yake ni $.

Dolar Ya Marekani
Noti za Dola ya Marekani.

Dolar ya Marekani inapatikana kwa noti za dola 1, 2, 5, 10, 20, 50 na 100. Kuna pia sarafu ya dola 1.

Dolar moja ina senti 100. Senti huitwa pia "penny" nchini Marekani. Kuna sarafu za nusu dolar (half dollar, senti 50), robo dolar (quarter, senti 25) na sarafu za senti 10 (dime), 5 (nickel) na 1 (penny).

Hadi mwaka 1969 noti ya dolar ya Marekani ilikuwa na ahadi ya kwamba serikali ya Marekani itampatia kila mtu dhahabu kulingana na thamani ya dola hizi akipenda kuzibadilisha.

Usawa huu na thamani ya dhahabu ulifutwa. Leo hii dolar ya Marekani ni pesa ya kuiamini serikali kama pesa zote. Maana yake watumiaji husadiki ya kwamba serikali haitachapisha dola kushinda uwezo wa uchumi na thamani ya bidhaa zilizopo nchini Tanzania.

Tangu mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (1945) dolar ya Marekani imekuwa pesa kuu duniani na sehemu kubwa ya biashara ya kimataifa hukadiriwa kwa dolar hizo. Lakini tangu kupatikana kwa Euro mwaka 1999 umuhimu wa dolar ya Marekani imeanza kupungua polepole. Hata hivyo nchi mbalimbali zimeachana na sarafu zao na kuamua kutumia dolar ya Marekani tu, k.mf. El Salvador.

Viungo vya nje

Dolar Ya Marekani 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Dolar Ya Marekani  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dolar ya Marekani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AlamaKifupiMarekaniPesa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ziwa ViktoriaChuo Kikuu cha PwaniMkoa wa Dar es SalaamMnyoo-matumbo MkubwaOksijeniMjombaUhifadhi wa fasihi simuliziAgano JipyaWachaggaUingerezaFutiKamusi za KiswahiliHalmashauriSilabiOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMlo kamiliFamiliaGeorDavieVielezi vya idadiKaswendeMkonoMfumo wa JuaShetaniOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaNenoKonsonantiMaradhi ya zinaaUtumwaJinsiaSanaaMofolojiaUwanja wa Taifa (Tanzania)Tabianchi ya TanzaniaDar es SalaamWaluguruFananiMeli za mizigoMkoa wa PwaniAntibiotikiMazungumzoApril JacksonMabiboOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaUtawala wa Kijiji - TanzaniaMtemi MiramboMshororoOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaSaidi Salim BakhresaVitendawiliTungo sentensiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMbuAfro-Shirazi PartyAfyaUkristo barani AfrikaSumakuChakulaFBKiburiMJUtoaji mimbaMkutano wa Berlin wa 1885Jakaya KikweteOrodha ya milima mirefu dunianiOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaLugha ya taifaIntanetiWilaya ya ArushaSamia Suluhu HassanKidole cha kati cha kandoUfahamuSintaksi🡆 More