Euro

Euro ni sarafu ya pamoja katika baadhi ya nchi za Ulaya.

Wakazi wake 350,000,000 (2023) wanatumia kwa kawaida pesa hiyo. Watu wengine 210,000,000 wanatumia pesa zilizoungwa na euro, hasa barani Afrika.

Euro
Ishara ya Euro.

Tangu mwaka 2002 nchi 13 za EU zilifuta sarafu ya kitaifa ili kutumia Euro tu. Siku hizi ni 20.

Euro moja imegawanyika katika senti 100.

Kuna benknoti za € 5 (kijivu), € 10 (nyekundu), € 20 (buluu), € 50 (machungwa), € 100 (kijani), € 200 (njano), € 500 (nyekundu).

Kuna sarafu za metali 8 za € 0,01, € 0,02, € 0,05, € 0,10, € 0,20, € 0,50, € 1, € 2.

Pesa ya karatasi inatolewa na benki kuu ya Ulaya na ni sawa kote.

Sarafu zinatolewa na nchi wanachama na zinatofautiana upande mmoja, lakini sarafu zote hutumika kote.

Ishara ya Euro

Ishara ya Euro ni herufi ya Kigiriki epsilon (E) yenye mistari miwili ya kulala: .

Nchi wanachama wa Euro

Euro 
Ramani ya uenezi wa Euro.
  1. Austria
  2. Ubelgiji
  3. Ufini
  4. Ufaransa
  5. Ujerumani
  6. Ugiriki
  7. Ueire
  8. Italia
  9. Latvia
  10. Luxemburg
  11. Ureno
  12. Hispania
  13. Uholanzi
  14. Slovakia
  15. Slovenia
  16. Kupro
  17. Malta
  18. Estonia
  19. Lithuania
  20. Kroatia

Nchi 6 zifuatazo hutumia pia Euro kama pesa pekee bila kuwa sehemu za mapatano, ila 4 za kwanza kwa makubaliano maalumu, nyingine 2 kwa kujiamulia:

Pesa za nchi zifuatazo zimeungwa na Euro:

Viungo vya nje

Euro 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Euro  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Euro kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AfrikaBaraPesaSarafu (mfumo)Ulaya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SentensiBob MarleyMadiniKenyaWamanyemaBarua rasmiMandhariNg'ombeMeja JeneraliBahashaSamia Suluhu HassanJKT TanzaniaMkopo (fedha)WhatsAppAkili ya binadamuUjerumaniVita Kuu ya Kwanza ya DuniaHistoria ya IsraelNyumbaMuhammadMnyamaPamboMajeshi ya Ulinzi ya KenyaKigoma-UjijiUkoloniUgaliMkunduJuxOrodha ya vitabu vya BibliaTafsidaUgonjwa wa kuharaAzimio la kaziClatous ChamaUlimwenguJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaAfeliMapenzi ya jinsia mojaZama za ChumaKiungujaSerikaliUlumbiTungo sentensiEdward SokoineNdamaHaki za binadamuMapambano kati ya Israeli na PalestinaUfinyanziRisalaUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Ndoa katika UislamuMnara wa BabeliFasihi andishiUtapiamloMkoa wa LindiMfumo wa uendeshajiRoho MtakatifuNgano (hadithi)HurafaKisimaUgonjwa wa uti wa mgongoMkwawaHali ya hewaSensaNenoMbagalaKilatiniMaji kujaa na kupwaMivighaTarakilishiAyoub LakredHoma ya iniDawatiUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMafurikoUmememajiKichocho🡆 More