Epsilon

Epsilon (ἒ ψιλόν - e ya kawaida) ni herufi ya tano katika alfabeti ya Kigiriki.

Inaandikwa Ε (herufi kubwa mwanzoni) au ε (herufi ndogo ya kawaida).

Epsilon
Alfabeti ya Kigiriki
Herufi za kawaida
Α α Alfa 1 Ν ν Ni 50
Β β Beta 2 Ξ ξ Ksi 60
Γ γ Gamma 3 Ο ο Omikron 70
Δ δ Delta 4 Π π Pi 80
Ε ε Epsilon 5 Ρ ρ Rho 100
Ζ ζ Dzeta 7 Σ σ ς Sigma 200
Η η Eta 8 Τ τ Tau 300
Θ θ Theta 9 Υ υ Ipsilon 400
Ι ι Iota 10 Φ φ Phi 500
Κ κ Kappa 20 Χ χ Khi 600
Λλ Lambda 30 Ψ ψ Psi 700
Μ μ Mi 40 Ω ω Omega 800
Herufi za kihistoria1
Epsilon Digamma 6 Epsilon San 90
Epsilon Stigma 6 Epsilon Sho 90
Epsilon Heta 8 Epsilon Koppa 90
Epsilon Sampi 900
1 Viungo vya Nje:
Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje

Jina la "e ya kawaida" limetokea kwa kuitofautisha na herufi "αι" zilizokuwa na matamshi yaleyale.

Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali za Kigiriki inatumiwa kama kifupisho kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na fizikia.

Pesa ya Euro inatumia epsilon yenye mistari miwili kama alama yake.

Epsilon Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Epsilon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Epsilon Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Epsilon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Alfabeti ya KigirikiHerufiTano

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Saida KaroliOrodha ya milima mirefu dunianiBob MarleySayariAbedi Amani KarumeVivumishi vya pekeeJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya viongoziShambaOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaChumaDodoma (mji)Ukoloni MamboleoHektariPumuFIFAViunganishiUtamaduni wa KitanzaniaAgano la KaleKomaNgoziFasihi andishiUkabailaSinagogiMsokoto wa watoto wachangaNairobiSemiLiberiaUKUTATarakilishiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuMakkaTendo la ndoaUbatizoOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaTumainiNyanja za lughaUmoja wa AfrikaUchawiUshogaEdward SokoineOrodha ya Marais wa TanzaniaBogaNadhariaFacebookNdege (mnyama)TreniMkoa wa TangaSarufiBabeliFutariChadMagonjwa ya machoLilithKunguniKamala HarrisMtakatifu PauloUtalii nchini KenyaMobutu Sese SekoWilliam RutoUbongoLugha ya piliKumaMauaji ya kimbari ya RwandaSikioHewaRamadan (mwezi)Milki ya OsmaniHadhiraMpwaMnururishoIsraelUbunifuMautiMaudhuiUtegemezi wa dawa za kulevyaTanganyika African National Union🡆 More