Ipsilon

Ipsilon (pia: Ypsilon au kwa Kigiriki Ύψιλον, yaani i fupi) ni herufi ya ishirini katika alfabeti ya Kigiriki, ikawa baadaye herufi ya ishirini na tano katika alfabeti ya Kilatini.

Ipsilon
Alfabeti ya Kigiriki
Herufi za kawaida
Α α Alfa 1 Ν ν Ni 50
Β β Beta 2 Ξ ξ Ksi 60
Γ γ Gamma 3 Ο ο Omikron 70
Δ δ Delta 4 Π π Pi 80
Ε ε Epsilon 5 Ρ ρ Rho 100
Ζ ζ Dzeta 7 Σ σ ς Sigma 200
Η η Eta 8 Τ τ Tau 300
Θ θ Theta 9 Υ υ Ipsilon 400
Ι ι Iota 10 Φ φ Phi 500
Κ κ Kappa 20 Χ χ Khi 600
Λλ Lambda 30 Ψ ψ Psi 700
Μ μ Mi 40 Ω ω Omega 800
Herufi za kihistoria1
Ipsilon Digamma 6 Ipsilon San 90
Ipsilon Stigma 6 Ipsilon Sho 90
Ipsilon Heta 8 Ipsilon Koppa 90
Ipsilon Sampi 900
1 Viungo vya Nje:
Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje

Asili yake ilikuwa "Waw" ya Kifinisia Ipsilon.

Iliandikwa kama Y ya Kiswahili lakini ilikuwa vokali, si konsonanti. Ipsilon ya Kigiriki ilitaja vokali iliyokuwa kati ya "u" na "i" (kama Kijerumani "ü"); katika Kigiriki cha kisasa ni "i" pekee.

Katika Kigiriki cha Kale ilimaanisha pia namba 400.

Waroma wa Kale waliipokea mara mbili katika alfabeti ya Kilatini:

Tags:

Alfabeti ya KigirikiAlfabeti ya KilatiniHerufiIshiriniIshirini na tanoKigiriki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MtaalaSensaTaifa StarsNgoziKaizari Leopold IUbongoVitenziMuziki wa dansi wa kielektronikiSilabiHistoria ya AfrikaMkoa wa DodomaHisabatiUtoaji mimbaMkoa wa SingidaViwakilishi vya sifaUtendi wa Fumo LiyongoViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Kanisa KatolikiSheriaSalama JabirUtawala wa Kijiji - TanzaniaWanyamweziHerufi za KiarabuNahauUshairiClatous ChamaMfumo wa lughaMatiniTaswira katika fasihiUturukiKitenzi kikuuMbuga wa safariSumakuDaudi (Biblia)DesturiWanyaturuOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaInternet Movie DatabaseInsha ya wasifuNelson MandelaDayolojiaMungu ibariki AfrikaUzazi wa mpango kwa njia asiliaMisimu (lugha)MahindiBustani ya EdeniMadawa ya kulevyaWangoniRadiKiimboMahariOrodha ya Magavana wa TanganyikaMichael JacksonNdoaNambaWikiThrombosi ya kina cha mishipaGesi asiliaUingerezaKito (madini)Chris Brown (mwimbaji)TarakilishiDubaiWagogoKoalaNishati ya mwangaBaruaZuchuDaniel Arap MoiTetekuwangaPichaOrodha ya viongoziSubrahmanyan ChandrasekharKishazi tegemeziAlfabeti🡆 More