E Pluribus Unum ni kaulimbiu ya Marekani inayopatikana kwenye nembo la taifa na kwenye noti ya dolar moja.
Kaulimbiu hiyo ni kutoka lugha ya Kilatini likimaanisha "Moja kutoka wengi" yaani Umoja umetokana na maungano ya pande mbalimbali. Neno limechaguliwa kwa sababu lilionyesha umoja wa makoloni 13 yaliyoasi Uingereza na kuwa chanzo cha Marekani.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article E pluribus unum, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.