Msichana

Msichana ni mwanamke ambaye hajafikia ukomavu wa utu uzima, ni kijana wa jinsia ya kike, ijapokuwa si tena mtoto tu wa binadamu.

Msichana
Msichana Mwafrika wa Mali.

Wakati mwingine watu wakubwa bado hutaja kama 'wasichana' wanawake waliokua, hasa katika hali ya kutoka nao usiku katika starehe fulani.

Wasichana wadogo bado wana miili ya kitoto. Haikomai hadi watakapofikia umri wa balehe (huenda wakafikia umri wa miaka 11-13 n.k.) ambapo miili yao inaanza kukomaa na kuwafanya wanawake kamili.

Wakati wa kubalehe, msichana anaanza kuwa na maziwa, maumbo yake sehemu za kiunoni na mabegani yanakuwa kubwa, sauti na sura huwa nzuri inayovutia na anaanza kuwa na hedhi.

Tazama pia

Viungo vya nje

Msichana 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Msichana 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Msichana  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Msichana kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BinadamuJinsiaKijanaMtotoMwanamkeUkomavuUtu uzima

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TabainiMgomba (mmea)Ligi ya Mabingwa AfrikaNge (kundinyota)Vipaji vya Roho MtakatifuAnwaniMkoa wa RuvumaMapambano ya uhuru TanganyikaNyegereMkoa wa LindiHistoria ya KanisaSeli nyekundu za damuBenjamin MkapaElimu ya watu wazimaAmaniKaraniDNAMisimu (lugha)Huduma ya kwanzaElimuUzalendoNandyMaambukizi nyemeleziMkoa wa ManyaraKadi za mialikoNyangumiJakaya KikweteOrodha ya Watakatifu WakristoWanyaturuMuhammadTasifidaOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKina (fasihi)WanyamboUfaransaMizimuMaishaTume ya Taifa ya UchaguziHistoria ya KiswahiliMbaazi (mmea)Rose MhandoWapareOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaMshororoAdhuhuriMafuta ya petroliMgawanyo wa AfrikaMnyamaVihisishiMsitu wa AmazonBaraRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniBinamuShuleNguruwe-kayaMselaNamba za simu TanzaniaUundaji wa manenoVielezi vya idadiPius MsekwaMkoa wa DodomaMilango ya fahamuPaul MakondaVivumishi vya kuoneshaDubai (mji)SintaksiMkatabaKiimboMajeshi ya Ulinzi ya KenyaJumuiya ya Afrika MasharikiKiingerezaUajemiMwaka🡆 More