Alama (kwa Kiingereza sign) ni kitu, mchoro, maandishi, kifaa ambacho hutambulisha kitu kingine, tukio, sehemu n.k.
Baadhi yake ni asili, kwa mfano radi ya umeme na dalili za ugonjwa.
Baadhi zimetungwa na binadamu, kwa mfano vituo katika maandishi na vitendo vya mikono wakati wa kuongea.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Alama, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.