Pesa Dolar

,

Pesa Dolar
Noti ya dola 20 za Marekani

Dolar (pia dolaKiing. dollar) ni jina la pesa ya Marekani na nchi mbalimbali duniani.

Dola ya Marekani au US-Dollar ndiyo inayojulikana zaidilakini kuna nchi zaidi ya 20 zinazotumia neno "Dollar" kwa pesa yao.

Nchi zenye pesa inayoitwa "Dollar" (dola)

  • Dolar ya Australia
  • Dolar ya Bahamas
  • Dolar ya Barbados
  • Dolar ya Belize
  • Dolar ya Bermuda
  • Dolar ya Brunei
  • Dolar ya Fiji
  • Dolar ya Guyana
  • Dolar ya Hongkong
  • Dolar ya Jamaika
  • Dolar ya Kaiman
  • Dolar ya Kanada
  • Dolar ya Karibi
  • Dolar ya Liberia
  • Dolar ya Marekani
  • Dolar ya Namibia

Historia

Asili ya jina hilo ni neno la Kijerumani "taler" (au: thaler) kwa ajili ya sarafu ya fedha iliyotolewa kwenye mji wa Joachimsthal kule Bohemia (Ucheki) mnamo mwaka 1518.

Wakati ule migodi ya Joachimsthal ilikuwa na fedha nyingi kiasi kwamba mji ulianza kutoa pesa zake. Pesa hizo zilitwa (kufuatana na mji) "Joachimsthaler"iliyofupishwa kuwa "taler" tu.

Taler ilikuwa pesa iliyopendwa sana Ulaya ikasambaa kote.

Hispania ilitumia jina hilo kwa "dolaro" yake kuanzia mwaka 1575. Dolaro ya Hispania ilikuwa baadaye pesa ya kisheria ya Marekani ilipojitenga na Uingereza na kuanzisha pesa yake mwaka 1792.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya viongoziP. FunkMwakaVielezi vya mahaliHistoria ya WapareMkoa wa ArushaMuundoSwalaKimeng'enyaMaana ya maishaMwanzo (Biblia)NileMkoa wa DodomaMariooJokofuSheriaAsili ya KiswahiliDiamond PlatnumzTanganyika African National UnionBikira MariaBendera ya TanzaniaNetiboliMavaziUkristoUkatiliRuge MutahabaSamakiUturukiUsanifu wa ndaniMauaji ya kimbari ya RwandaKukuMkuu wa wilayaMuda sanifu wa duniaNomino za wingiTashihisiIniFalsafaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMoscowSanaaKutoka (Biblia)HadhiraMatiniAli Hassan MwinyiMobutu Sese SekoC++Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoHistoria ya WasanguHadithiSamia Suluhu HassanManispaaKabilaCristiano RonaldoVivumishi vya -a unganifuCleopa David MsuyaMarekaniShambaVivumishi vya kumilikiOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaKitenzi kishirikishiNusuirabuMvuaMshororoMalariaDawa za mfadhaikoKamusi ya Kiswahili sanifuViunganishiIsimujamiiPapaVitamini CKiambishi awaliRisalaIntaneti🡆 More