Scarlett Ingrid Johansson (alizaliwa 22 Novemba 1984) ni mwigizaji wa nchini Marekani.
Mwigizaji huyo anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani miaka ya 2018 na 2019, amehusika mara nyingi kwenye orodha ya Forbes Celebrity 100. Filamu zake zimeingiza zaidi ya dolar za Kimarekani bilioni 14.3 duniani kote, na kumfanya Johansson kuwa kwenye Orodha ya waigizaji walioingiza pesa nyingi zaidi duniani.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Scarlett Johansson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Scarlett Johansson, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.