Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Alama" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Alama (kwa Kiingereza "sign") ni kitu, mchoro, maandishi, kifaa ambacho hutambulisha kitu kingine, tukio, sehemu n.k. Baadhi yake ni asili, kwa mfano... |
Alama ya barabarani ni alama inayowekwa kwenye nguzo kando ya barabara ili kutoa habari, onyo au elekezo kwa watu wanaopita hapo kwa vyombo vya usafiri... |
Alama ya swali (ing. question mark) ni kati ya alama za vituo inayotumiwa kwenye mwisho wa sentensi wakati wa kuuliza swali. Umbo lake ni ?. Alama hii... |
Alama za uakifishaji ni alama zinazotumiwa wakati wa kuandika pamoja na herufi. Kazi yake ni kusaadia kuelewa matini vyema, na kudokeza maana maalumu... |
Alama dola au $ (kwa Kiingereza: "dollar sign" au "peso sign") ni alama inayotumika ili kuonyesha vitengo vya fedha nyingi. Alama dola hutumika katika... |
Namba za Kiroma (fungu Alama za kimsingi) - 50 C - 100 D - 500 M - 1000 Namba kubwa zaidi huonyeshwa kwa kuandika alama inayotakiwa upande wa kulia lakini kwa kawaida si zaidi ya mara tatu: I... |
Siku ya kimataifa ya lugha ya alama (kwa Kiingereza International Day of Sign Languages - IDSL) husherehekewa tarehe 23 Septemba kila mwaka ikiambatana... |
alama za kimaandishi zinazotumiwa kuandika namba. Tarakimu zinazojulikana na kutumika zaidi duniani siku hizi ni 0, 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9. Alama hizo... |
Alfabeti ni kiasi cha alama zinazotumiwa kuandika sauti za lugha fulani. Alama hizi hupatikana kama orodha kwa ufuatano uliokubaliwa, kwa mfano katika... |
kadhaa ya Alama za Amani zimetumika kwa njia tofauti kwenye tamaduni mbalimbali na muktadha. Njiwa na Tawi la mizeituni ilitumika kama alama kwa wakristo... |
M (fungu Historia ya alama M) Kati ya namba za Kiroma M ni alama ya 1,000 Kwenye gari M ni alama ya kimataifa ya gari kutoka Malta Katika fizikia m ni alama ya masi (ling. E=mc2) Katika... |
Alama za vidole ni taswira ya pekee iliyo kwenye kiganja cha mkono wa binadamu. Alama za vidole za binadamu zina maelezo ya kina ambazo hudumu katika... |
Bendera (Kusanyiko Alama za kitaifa) la mraba au pembetatu. Ina kazi ya kitambulisho au alama ya mawasiliano. Mara nyingi bendera ni alama ya kitambulisho cha taifa au jumuiya nyingine. Nchi... |
Alama biashara (kwa Kiingereza: trademark) ni ishara yenye habari kamili ya kwamba jina au kitu fulani vimetokana na uvumbuzi wa pekee, hivyo ni mali... |
Lugha ya ishara (elekezo toka kwa Lugha za alama) Lugha za ishara (pia lugha za alama) ni lugha zinazohusisha miendo ya mikono, uso, kichwa, mabega na pia sehemu nzima ya juu ya mwili badala ya kuhusisha... |
K (fungu Historia ya alama K) sanifu vya kimataifa K ni alama ya Kelvini (kiwango cha halijoto) Katika Kemia K ni alama ya elementi ya Kali kwenye gari K ni alama ya mimataifa kwa magari... |
Herufi ni alama katika mwandiko unaofuata alfabeti. Kila herufi ni alama ya sauti au fonimu fulani kama vile A - B - C. . Kifinisia na Kigiriki zilikuwa... |
V (fungu Historia ya alama V) Kigiriki. katika kemia V ni alama ya elementi vanadi. Kati ya namba za Kiroma V ni alama ya namba 5. Kwa magari V ni alama ya gari kutoka Vatikani. Kati... |
G (fungu Historia ya alama G) D ni noti. Kwa magari G ni alama ya gari kutoka Gabon. katika ya vipimo sanifu vya kimataifa "g" ni alama ya gramu Alama ya G ilianzishwa katika alfabeti... |
E (fungu Historia ya alama E) wakitumia alama tu kwa sauti ya "h". Wagiriki walipochukua alama za Kifinisia walihitaji zaidi alama za vokali lakini siyo ya "h". Kwa hiyo sauti ya alama ikabadilika... |