Bidhaa ni kitu chochote kinachotoka kwenye soko kinachoweza kuridhisha watu.
Kwenye utengenezaji kwa kawaida hununuliwa kama malighafi (kama vile vyuma) na kuuzwa kama bidhaa.
Bidhaa hatarishi ni zile zinazoweza kusababisha madhara kwa jamii.
Mazao ya kilimo na huduma ni aina nyingine ya bidhaa kuu.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bidhaa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Bidhaa, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.