San Jose (IPA: sænhoʊˈzeɪ) ni mji mkubwa wa jimbo la Kalifornia (Marekani) na pia mji mkubwa wa tatu jimboni.
Iko kusini kabisa ya mji wa San Francisco.
Jiji la San Jose | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | California |
Wilaya | Santa Clara |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 939,899 |
Tovuti: www.sanjoseca.gov |
Idadi ya wakazi ni 989,496 na pamoja na rundiko la mji ni watu milioni saba.
Jina la San Jose ni la Kihispania, maana yake ni "Mtakatifu Yosefu". Jina lake linatokana na lile la misheni ya Ndugu Wadogo iliyoanzishwa kwa heshima ya mtakatifu huyo.
Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu San Jose, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article San Jose, California, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.