San Francisco: Jiji katika Jimbo la Kaliformia, Marekani

San Francisco ni mji wa Marekani uliopo kwenye mwambao wa Pasifiki katika jimbo la Kalifornia.

Ni mji mkubwa wa nne wa Kalifornia ukiwa na wakazi 744,000.

San Francisco: Jiji katika Jimbo la Kaliformia, Marekani
Mji wa San Francisco






Jiji la San Francisco
San Francisco: Jiji katika Jimbo la Kaliformia, Marekani
Bendera
Jiji la San Francisco is located in Marekani
Jiji la San Francisco
Jiji la San Francisco

Mahali pa mji wa San Francisco katika Marekani

Majiranukta: 37°46′46″N 122°25′09″W / 37.77944°N 122.41917°W / 37.77944; -122.41917
Nchi Marekani
Jimbo California
Wilaya San Francisco
Tovuti:  www.sfgov.org
San Francisco: Jiji katika Jimbo la Kaliformia, Marekani
Mahali pa San Fransisco katika Kalifornia
San Francisco: Jiji katika Jimbo la Kaliformia, Marekani
Reli ya manisipaa aina ya Cable Car
San Francisco: Jiji katika Jimbo la Kaliformia, Marekani
Bendera ya San Francisco

San Francisco iko kwenye rasi kati ya Pasifiki na hori ya San Francisco. Mlangobahari wa kuingia katika hori huitwa "Golden Gate".

Mji hutembelewa na watalii wengi wanaopenda kuangalia daraja la Golden Gate, kisiwa cha Alcatraz na gereza lake, halafu kuzunguka mjini kwa reli za nyaya.

Mji unajulikana pia kwa jumuiya kubwa za mashoga na wabasha.

Historia

Mji ulianzishwa na Wafransisko Wahispania mnamo 1776 kama sehemu ya koloni lao la Meksiko. Jina limechaguliwa kwa heshima ya mwanzilishi wao, Mt. Fransisko wa Asizi.

Baada ya vita vya Marekani dhidi ya Meksiko ya 1846 mji ukawa sehemu ya Marekani. Uchimbaji wa dhahabu ulisababisha ukuzi wa haraka.

Mwaka 1906 San Francisco iliharibiwa na tetemeko la ardhi ikajengwa upya.

Viungo vya nje

San Francisco: Jiji katika Jimbo la Kaliformia, Marekani  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Francisco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KaliforniaMajimbo ya MarekaniMarekaniMjiMwambaoPasifiki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Edward SokoineSiafuMaajabu ya duniaAlfabetiMaktabaLugha za KibantuHuduma ya kwanzaTarbiaHali ya hewaMaishaUgonjwa wa kuharaWayback MachineUtumwaMusaMaji kujaa na kupwaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniMasharikiNileUhifadhi wa fasihi simuliziBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiLatitudoMungu ibariki AfrikaUchumiMahakamaKiambishi tamatiOrodha ya vitabu vya BibliaMkoa wa KageraUturukiBarua rasmiWamasaiVitenzi vishiriki vipungufuShukuru KawambwaNguruwe-kayaRuge MutahabaLionel MessiOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMtandao wa kijamiiOrodha ya Watakatifu WakristoMachweoVita ya Maji MajiMajigamboHistoria ya Kanisa KatolikiMkoa wa SongweHekalu la YerusalemuMisemoSimba S.C.Uzazi wa mpangoKanisaDawa za mfadhaikoMkoa wa MwanzaSexMagharibiHaki za wanyamaUajemiTaswira katika fasihiUkimwiNg'ombeVivumishi vya kuoneshaZakaNembo ya TanzaniaBongo FlavaKilimanjaro (volkeno)Ala ya muzikiMethaliVielezi vya namnaMillard AyoZiwa ViktoriaKifua kikuuKaaSah'lomonManchester CityTume ya Taifa ya UchaguziJoyce Lazaro NdalichakoSabato🡆 More