Kampuni

Kampuni (kutoka Kiingereza company) ni asasi au shirika linalotambuliwa kisheria ambalo limeundwa kwa ajili ya kuunda au kuuza bidhaa na / au huduma kwa wateja na linashughulika na aina yoyote ya biashara.

Ufafanuzi wa neno na taratibu za sheria hutofautiana nchi kwa nchi. Kwa ujumla, kampuni shirika la biashara linalotengeneza bidhaa kwa namna iliyopangwa na kuziuza kwa umma ili kupata faida.

Kampuni inaweza kuajiri watu kuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo.

Kampuni zinapatikana sana katika uchumi wa kibepari, nyingi zikiwa zinamilikiwa na watu binafsi kwa ajili ya kupata faida ambayo itaongeza mali ya wamiliki wake na kuikuza biashara yenyewe. Wamiliki na wahudumu wa biashara huwa na lengo mojawapo kuu kama kupata mapato ya kifedha kutokana na kazi wanayoifanya napia kwa sababu ya kukubali kujiingiza kwenye hatari ya kufanya biashara. Baadhi ya kampuni ambazo malengo yake siyo kama yale yaliyosemwa hapo juu ni kama vyama vya ushirika na kampuni zinazomilikiwa na serikali.

Biashara pia inaweza kuanzishwa bila kusudi la kupata faida au biashara inayomilikiwa na serikali.

Kampuni

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Dignam, A and Lowry, J. Company Law. Oxford: Oxford University Press, 2006. ISBN|978-0-19-928936-3.
  • John Micklethwait and Adrian Wooldridge, The Company: a Short History of a Revolutionary Idea. New York: Modern Library, 2003.
Kampuni  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kampuni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AsasiBiasharaBidhaaHudumaKiingerezaShirika

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Hifadhi ya mazingiraAzimio la Kimataifa juu ya Haki za BinadamuVihisishiWazaramoVidonge vya majiraMkoa wa SimiyuSamakiKisimaChumaUjerumaniAmri KumiLingua frankaAbedi Amani KarumeKiimboMandhariOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaMaudhuiLilithUkanda wa GazaBiasharaSentensiViwakilishiThamaniMbooKibodiMsokoto wa watoto wachangaUhuru wa TanganyikaVivumishi vya urejeshiKitenzi kikuuHafidh AmeirMbuniLakabuRose MhandoMajiAfrikaMitume wa YesuNigeriaVivumishi vya -a unganifuNamba za simu TanzaniaJumuiya ya MadolaAnwaniVitendawiliUtamaduni wa KitanzaniaMadhehebuWangoniMwanamkeInsha za hojaKiambishiMkoa wa MorogoroNyangumiMjombaMafua ya kawaidaUchawiUvuviHistoria ya KiswahiliLigi Kuu Uingereza (EPL)MaishaMartha MwaipajaJiniTiktokJamhuri ya Watu wa ZanzibarVirusi vya UKIMWIVita Kuu ya Pili ya DuniaCristiano RonaldoSalim KikekeIsraeli ya KaleTetemeko la ardhiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaUti wa mgongoDemokrasiaUrusiMaambukizi nyemeleziHistoria ya KanisaMpira wa kikapuHuduma ya kwanza🡆 More