Cheo

Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya

Kuna ukurasa unaoitwa "Cheo" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.

Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • Thumbnail for Cheo
    Cheo ni rejeo linaloongezwa kwa jina la mtu kuonyesha heshima, wadhifa au kazi yake. Pia ni kimo cha kitu fulani, kama vile vazi. Tena ni jina la vifaa...
  • Thumbnail for Kaizari
    Kaizari (Kusanyiko Cheo)
    Kaizari ni cheo cha mfalme mkuu. Neno la Kiswahili limetokana na lugha ya Kijerumani "Kaiser", lakini asili yake ni Kilatini "Caesar". Asili ya cheo ni Julius...
  • Thumbnail for Sultani
    Sultani (Kusanyiko Cheo)
    Sultan (kar. سلطان sultân:) ni cheo cha kiislamu cha mtawala wa nchi anayerithi nafasi yake kama mfalme. Neno lenyewe lamaanisha "nguvu", "mamlaka" au...
  • Ofisa (Kusanyiko Cheo)
    Ofisa (pia: afisa, kutoka Kiingereza: officer) ni mtu mwenye cheo katika ofisi au katika mfumo wa shirika fulani. Neno latumiwa hasa kwa wanajeshi wa vyeo...
  • Thumbnail for Qore (cheo)
    Qore ni cheo cha watawala katika Ufalme wa Kush, haswa wakati wa Kipindi cha Meroitic, katika ardhi ya Nubia (Sudani ya sasa). Kandake Angola Farao Vittmann...
  • Thumbnail for Papa
    pappas, jina ambalo mtoto anamuitia baba yake)ni cheo cha kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kote. Cheo hicho kinategemea kile cha askofu wa Roma. Kiasili...
  • Thumbnail for Askofu
    Askofu ni mtu mwenye cheo cha juu katika Kanisa. Kwa kawaida huliongoza katika eneo la dayosisi (jimbo) akisimamia shirika au parokia nyingi. Neno la Kiswahili...
  • Thumbnail for Khalifa
    Khalifa, ni cheo cha kihistoria kwa ajili ya kiongozi wa umma (jumuiya ya Uislamu). Ni neno la Kiarabu خليفة khalīfah linalomaanisha "makamu". Khalifa...
  • Thumbnail for Gavana
    Gavana (kutoka Kiingereza governor yaani "mwenye kutawala"") ni cheo cha kiongozi wa kisiasa au wa kiutawala kwenye ngazi mbalimbali. Kuna nchi ambako...
  • Thumbnail for Amiri
    Amiri (Kusanyiko Cheo)
    ‏امير‎ amīr au tur. emir) ni cheo cha mtawala mwislamu anayesimamia emirati. Kiasili maana yake ni "mwenye amri" kama cheo cha kijeshi au kiserikali. Katika...
  • Askofu mkuu ni cheo cha askofu kiongozi anayesimamia maaskofu katika jimbo la kanisa lenye dayosisi mbalimbali. Asili ya neno lenyewe ni Kigiriki αρχή...
  • Thumbnail for Mfalme
    Mfalme (Kusanyiko Cheo)
    mtawala wa kiume juu ya nchi katika utaratibu wa ufalme. Kwa kawaida amerithi cheo chake kutoka kwa mzazi wake aliyekuwa mfalme pia. Lakini kuna pia wafalme...
  • Katibu Mkuu (Kusanyiko Cheo)
    Katibu Mkuu ni cheo cha kiongozi katika chama, shirika, kanisa, klabu au taasisi. Kwa mujibu wa itifaki, yuko chini ya mkuu au mwenyekiti wa shirika, lakini...
  • Thumbnail for Kamanda
    Kamanda (Kusanyiko Cheo)
    Kiingereza: Commander) ni cheo cha afisa wa nevi na jeshi la anga kilicho chini ya Nahodha na juu ya Luteni Kamanda. Cheo cha kamanda pia hupatikana...
  • Thumbnail for Profesa
    ni cheo cha kitaaluma katika vyuo vikuu na taasisi za utafiti katika nchi nyingi. Kwa kawaida huwa mtaalamu wa sanaa au sayansi, mwalimu wa cheo cha...
  • Thumbnail for Kapteni
    Kapteni (Kusanyiko Cheo)
    Kapteni ni cheo cha kijeshi katika nchi nyingi za dunia. Kapteni huwa ni kiongozi wa kikosi cha askari 100-200. Madaraka ya kapteni ni kuongoza kikosi...
  • Thumbnail for Kanali
    kifupisho chake ni Col. au Col; matamshi yake / kɜːrnəl /, sawa na "kernel") ni cheo cha afisa wa jeshi chini ya safu ya afisa wa jumla. Hata hivyo, katika vikosi...
  • "Kanzler"), pia kansela, ni cheo cha mkuu wa serikali, lakini si mkuu wa dola, katika Ujerumani na Austria. Kinafanana na cheo cha waziri mkuu. Machansela...
  • Thumbnail for Tiba
    lakini neno hili lamaanisha zaidi cheo cha kufaulu chuo kikuu kwenye ngazi ya juu; mara nyingi waganga husoma hadi cheo cha daktari wa tiba. Watu wanaofanya...
  • Thumbnail for Patriarki
    Patriarki (kutoka Kigiriki πατήρ ἄρχων patèr àrchon, yaani "baba-kiongozi") ni cheo cha juu kati ya maaskofu wa Makanisa ya Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki...
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ukomeshaji wa Biashara ya WatumwaWangoniTahajiaNadhariaImaniUfahamuJinaMfumo wa homoniRafikiDiniAfrika KusiniFasihiMandhariUchimbaji wa madini nchini TanzaniaSaa za Afrika MasharikiMikoa ya TanzaniaMjiViwakilishi vya -a unganifuVita Kuu ya Kwanza ya DuniaLionel MessiNgw'anamalundi (Mwanamalundi)RaiaPasaka ya KikristoRwandaAlfabetiKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaRohoNgano (hadithi)Kata za Mkoa wa Dar es SalaamUpendoJumapili ya matawiKMachweoKiswahiliNyweleMofolojiaSamliFur EliseWellu SengoTiba asilia ya homoniOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaNandyNomino za pekeeOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMafurikoShinikizo la juu la damuAlomofuSitiariFananiMbuga za Taifa la TanzaniaMawasilianoKipindupinduDiamond PlatnumzShangaziClatous ChamaBiashara ya watumwaLatitudoMamaliaInstagramKitomeoLenziUyogaSkeliFerbutaOrodha ya nchi za AfrikaKombe la Mataifa ya AfrikaAli Hassan MwinyiStadi za lughaKinyongaMamba (mnyama)ThamaniBawasiriOrodha ya Marais wa UgandaMbosso🡆 More