Alasiri (kutoka Kiarabu) ni kipindi cha mchana kati ya adhuhuri na jioni, wakati ukali wa mwanga wa jua unapozidi kupungua.
Kwa kawaida wakati huo kwa binadamu unafuata mlo: hivyo utendaji wake unapungua pamoja na umakinifu wake. Ndiyo sababu ajali nyingi huwa zinatokea wakati huo.
Dini mbalimbali zenye ratiba ya sala, kwa mfano Ukristo na Uislamu, zina kipindi maalumu kwa alasiri.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Alasiri, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.