Taasisi Ya Kuzuia Na Kupambana Na Rushwa Ya Tanzania

Taasisi ya Kuzuia na Kupambambana na Rushwa Tanzania (kifupi: TAKUKURU) ni taasisi ya serikali iliyopewa jukumu la kupambana na rushwa.

Ni idara inayojitegemea ambayo ipo chini ya Ofisi ya Rais.

Makao makuu yapo eneo la Chamwino, Dodoma.

Historia

Hapo awali, taasisi hiyo ilikuwa ikijulikana kama Taasisi ya kuzuia Rushwa ya Tanzania (TAKURU). Taasisi ya Kuzuia Rushwa iliundwa na Sheria namba 2 ya mwaka 1974 ambayo ilipitisha kuundwa kwa Kikosi cha Kuzuia Rushwa, baada ya kuifanyia marekebisho Sheria ya Kuzuia Rushwa Namba 16 ya mwaka 1971. Kikosi cha Kuzuia Rushwa kilianzishwa rasmi tarehe 15 Januari 1975 kwa tamko la Serikali Namba 17 la 1975.

Kabla ya mwaka wa 1975 shughuli za kuzuia rushwa zilifanywa na Wizara ya Mambo ya Ndani, ambapo jeshi la polisi lilipewa jukumu zima la kupambana na rushwa.

Marejeo

Tags:

IdaraJukumuKifupiRushwaSerikaliTaasisiTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NyotaWizara za Serikali ya TanzaniaAfro-Shirazi PartyLugha za KibantuMizunguMkoa wa KageraHisiaBiasharaViungo vinavyosafisha mwiliIndonesiaMfumo wa mzunguko wa damuTenziMoyoUkongaVivumishi vya ambaSimbaNimoniaSamakiAgano JipyaDubai (mji)MnururishoDhamiraHistoria ya AfrikaUturukiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniTeknolojiaKisimaPumuVidonge vya majiraUtamaduni wa KitanzaniaHifadhi ya mazingiraUNICEFWilayaTausiKitenziAntibiotikiHekimaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaKupakua (tarakilishi)Alama ya barabaraniMnyamaKichochoTanganyika African National UnionMrisho MpotoFani (fasihi)Kadi za mialikoMoshi (mji)Waziri Mkuu wa TanzaniaUyahudiTulia AcksonMimba kuharibikaKongoshoMavaziOrodha ya Marais wa KenyaChuo Kikuu cha DodomaMizimuHektariHafidh AmeirZabibuKipimajotoMohamed Gharib BilalMfumo wa uendeshajiMbagalaAkiliLady Jay DeeHistoria ya WapareWayahudiJohn MagufuliUnyevuangaPesaNdoa katika UislamuKomaWilaya ya MeruChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)🡆 More