Polisi (kutoka neno la Kiingereza police lilikopwa kutoka Kifaransa police ambalo awali lilikuwa la Kilatini politia, na kabla yake tena la Kigiriki πολιτεία, politeia, uraia, usimamizi, ustaarabu wa mjini.
Msingi ni neno πόλις, polis, "mji".) ni idara ya serikali ambayo lengo lake ni kutekeleza sheria za nchi, kulinda mali kudumisha usalama na kupunguza vurugu, kutokomeza vifo visivyokuwa vya lazima, pamoja na kuokoa mali.
Polisi pekee inaruhusiwa kutumia nguvu katika jamii.
Kwa kawaida polisi hutofautiana na wanajeshi ambao kazi yao ni kulinda nchi dhidi ya wavamizi kutoka nje.
Mara nyingi polisi wanajulikana kuathiriwa na ufisadi kwa kiasi tofautitofauti.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Polisi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.