Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Guinea" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Gine, (pia: Gini; Kifaransa: Guinée; Kiingereza: Guinea) kirasmi Jamhuri ya Gine, ni nchi katika Afrika ya Magharibi. Pengine inatajwa kama Gine-Conakry... |
Papua Guinea Mpya (Independen Stet bilong Papua Niugini) ni nchi karibu na Indonesia na Australia inayokalia upande wa mashariki wa kisiwa cha Guinea Mpya... |
(Kiingereza: Guinea-Bissau) ni nchi ndogo katika Afrika ya Magharibi. Iko mwambaoni kwa Bahari Atlantiki ikipakana na Senegal upande wa kaskazini na Guinea upande... |
Gine ya Ikweta (pia: Ginekweta au Guinea ya Ikweta), kirasmi Jamhuri ya Gine ya Ikweta, ni nchi mojawapo ndogo ya Afrika iliyopo upande wa magharibi wa... |
Guinea Mpya ni kisiwa kikubwa katika Pasifiki upande wa kaskazini wa Australia. Ni kisiwa kikubwa cha pili duniani baada ya Greenland. Eneo la kisiwa limegawiwa... |
Ghuba ya Guinea ni kidaka kikubwa cha bahari ya Atlantiki kwenye pwani ya magharibi mwa Afrika. Eneo lake linahesabiwa kuanza nchini Liberia kwenye rasi... |
Lugha za Kivuka-Guinea Mpya (pia Lugha za Kitrans-Niugini) ni familia kubwa ya lugha ambazo huzungumzwa katika kisiwa cha Guinea Mpya pande zote mbili... |
Ifuatayo ni orodha ya wakuu wa nchi wa Guinea tangu nchi imekuwa huru kutoka kwa Ufaransa mnamo 1958. (Tarehe zilizowekewa mlalo zinaashiria uendelezo... |
Historia ya Guinea inahusu zaidi eneo la Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Guinea. Mnamo Septemba 5, 2021, jaribio la mapinduzi... |
Historia ya Guinea-Bissau inahusu eneo la Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Guinea-Bissau.... |
--Kwa maana mbalimbali za neno Guinea angalia Guinea (maana)-- Guinea ni jina la kihistoria kwa ajili ya kanda ya kusini ya Afrika ya Magharibi kati ya... |
Historia ya Guinea ya Ikweta inahusu eneo la Afrika ya Kati ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Guinea ya Ikweta.... |
Litoral (ikimaanisha "Pwani") ndio mkoa wenye watu wengi zaidi wa Guinea ya Ikweta. Katika sensa ya mwaka 2015 ulikuwa na wakazi 367,348. Mji mkuu wake... |
ya Kiislamu wapo chini ya asilimia moja idadi ya wakazi wote wa nchi ya Guinea ya Ikweta. Ripoti ya wavuti ya Adherents.com, hata hivyo, imekadiria ya... |
Bendera ya Guinea ina milia mitatu ya kusimama yenye rangi za nyekundu, njano na kijani - kibichi. Rangi hizi ziko pia kwenye bendera ya Ethiopia na ya... |
Guinea ni neno linaloweza kumaanisha: Kwenye bara la Afrika: kanda ya kijiografia ya Guinea katika Afrika ya Magharibi nchi ya Guinea (pia: Gine / Gini)... |
Faili:Conakrymosque.jpg Uislamu nchini Guinea ni dini yenye wafuasi wengi nchini humo, kukiwa na makadirio ya asilimia 85 ya wakazi wote wa Guinea kuwa ni Waislamu, hasa... |
Uislamu nchini Guinea-Bissau ni moja kati ya dini kubwa nchini humo, imekadiriwa kufikia asilimia 50 za wakazi wake ambapo kwa harakaharaka ni kama milioni... |
Bendera ya Guinea-Bissau ina milia mitatu ya rangi nyekundu, njano na kijani pamoja na nyota nyeusi. Mlia mwekundu ulio na nyota nyeusi unasimama upande... |
Kikpelle ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea inayozungumzwa na Wakpelle. Ni lugha tofauti na lugha ya Kikpelle ya Liberia. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji... |