Papua Guinea Mpya

Papua Guinea Mpya (Independen Stet bilong Papua Niugini) ni nchi karibu na Indonesia na Australia inayokalia upande wa mashariki wa kisiwa cha Guinea Mpya pamoja na visiwa vya kandokando.

Papua Guinea Mpya
Papua Guinea Mpya
Ramani ya Papua Guinea Mpya
Papua Guinea Mpya
Wanakijiji huko Kerepunu, British New Guinea, 1885.

Nchi ni mwanachama wa Jumuia ya Madola. Mtawala ni Malkia Elizabeth II.

Mji mkuu ni Port Moresby.

Historia

Inakadiriwa kwamba watu wa kwanza walifika huko miaka 42,000-45,000 KK.

Watu

Kati ya wakazi, wengi wanaishi katika mazingira asili, ambayo kwa kiasi kikubwa hayajachunguzwa na wataalamu.

Asilimia 18 tu wanaishi mijini.

Nchini Papua Guinea Mpya kuna lugha za asili zaidi ya 800 (angalia orodha ya lugha za Papua Guinea Mpya). Hiyo inaonyesha kwamba ni kati ya nchi zenye tofauti kubwa zaidi katika utamaduni.

Upande wa dini, Ukristo unafuatwa na 96% ya wakazi. kati ya madhehebu, linaongoza Kanisa Katoliki (27.0%), likifuatwa na Walutheri (19.5%).

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Biskup, Peter, B. Jinks and H. Nelson. A Short History of New Guinea (1970)
  • Connell, John. Papua New Guinea: The Struggle for Development (1997) online
  • Gash, Noel. A Pictorial History of New Guinea (1975)
  • Golson, Jack. 50,000 years of New Guinea history (1966)
  • Griffin, James. Papua New Guinea: A political history (1979)
  • James, Paul; Nadarajah, Yaso; Haive, Karen; Stead, Victoria (2012). pdf download Sustainable Communities, Sustainable Development: Other Paths for Papua New Guinea. Honolulu: University of Hawaii Press. 
  • Knauft, Bruce M. South Coast New Guinea Cultures: History, Comparison, Dialectic (1993) excerpt and text search
  • McCosker, Anne. Masked Eden: A History of the Australians in New Guinea (1998)
  • Mckinnon, Rowan, et al. Papua New Guinea & Solomon Islands (Country Travel Guide) (2008) excerpt and text search
  •  
  • Waiko. John. Short History of Papua New Guinea (1993)
  • Waiko, John Dademo. Papua New Guinea: A History of Our Times (2003)
  • Zimmer-Tamakoshi, Laura. Modern Papua New Guinea (1998) online

Vyanzo

  • Jinks, Brian, ed. Readings in New Guinea history (1973)
  • Tim Flannery Throwim' Way Leg: Tree-Kangaroos, Possums, and Penis Gourds (2000) memoir excerpt and text search
  • Malinowski, Bronislaw. Argonauts of the Western Pacific: An Account of Native Enterprise and Adventure in the Archipelagoes of Melanesian New Guinea (2002) famous anthropological account of the Trobriand Islanders; based on field work in 1910s online
  • Visser, Leontine, ed. Governing New Guinea: An Oral History of Papuan Administrators, 1950–1990 (2012)
  • Whitaker, J.L. et al. eds. Documents and readings in New Guinea history: Pre-history to 1889 (1975)

Viungo vya nje

Papua Guinea Mpya 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
    Serikali
    Taarifa za jumla

Blogs, Forums, Factsheets, etc.


Papua Guinea Mpya  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

Papua Guinea Mpya HistoriaPapua Guinea Mpya WatuPapua Guinea Mpya Tazama piaPapua Guinea Mpya TanbihiPapua Guinea Mpya MarejeoPapua Guinea Mpya Viungo vya njePapua Guinea MpyaAustraliaGuinea MpyaIndonesiaKisiwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vivumishi vya idadiAfyaUenezi wa KiswahiliNyanda za Juu za Kusini TanzaniaMr. BlueAfrika Mashariki 1800-1845Mbuga wa safariUbunifuMpira wa miguuMnyoo-matumbo MkubwaMajira ya mvuaNgonjeraPandaWilaya ya IlalaMaskiniUingerezaTabianchiWema SepetuUvuviKiambishi awaliUkimwiUtamaduniKisimaMazoezi ya mwiliMachweoNahauKanisa KatolikiMange KimambiUzazi wa mpango kwa njia asiliaMkoa wa LindiHaki za watotoMkoa wa Unguja Mjini MagharibiBungeMajeshi ya Ulinzi ya KenyaWabena (Tanzania)DiniMapenzi ya jinsia mojaKumamoto, KumamotoJoseph Sinde WariobaLuhaga Joelson MpinaTafsiriHifadhi ya mazingiraMwanga wa JuaNadhariaUtataMatumizi ya LughaMashuke (kundinyota)Orodha ya matajiri wakubwa WaafrikaP. FunkKassim MajaliwaKitenzi kikuuChuiHussein KaziMilaBibliaPalestinaAgano JipyaWaheheBawasiriUhakiki wa fasihi simuliziTamthiliaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoEdward Ngoyai LowassaMapambano ya uhuru TanganyikaMaudhuiKilwa KisiwaniBahari ya HindiMitume wa YesuWayahudiVivumishi vya -a unganifuChakulaNembo ya TanzaniaUfinyanziWizara za Serikali ya Tanzania🡆 More