Jiji Zanzibar

Jiji la Zanzibar ni mji mkubwa wa kisiwa cha Unguja na mji mkuu wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.

Jiji la Zanzibar
Jiji la Zanzibar is located in Tanzania
Jiji la Zanzibar
Jiji la Zanzibar

Mahali pa mji wa Zanzibar katika Tanzania

Majiranukta: 6°9′36″S 39°12′0″E / 6.16000°S 39.20000°E / -6.16000; 39.20000
Nchi Tanzania
Mkoa Unguja Mjini Magharibi
Wilaya Unguja Mjini
Jiji Zanzibar
Beit-al-Ajaib, yaani Jumba la Maajabu (1907).

Pia ni wilaya katika Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi wa Tanzania.

Jiji lina wakazi 206,292 (sensa ya mwaka 2002).

Jina

Mji Mkongwe

Kitovu cha historia yake ni Mji Mkongwe (Stone Town) ulioandikishwa katika orodha ya UNESCO ya "Urithi wa Dunia" (World Heritage).

Nyumba za Mji Mkongwe zilijengwa tangu mwaka 1830 wakati Sultani Sayyid Said alipohamisha mji mkuu wake kutoka Omani kuja Unguja.

Kati ya majengo maarufu ni Beit al Ajaib (yaani Jumba la Maajabu lililobomoka tarehe 24 Desemba 2020), boma la kale, Kanisa Kuu la Kianglikana lililojengwa mahali pa soko la watumwa na hasa nyumba nyingi za kihistoria za ghorofa zilizojengwa na famila za tabaka la matajiri Waarabu zenye milango yenye mapambo mazuri.

Mji Mkongwe unapokea watalii wengi kila mwaka.

Mji wa kisasa umekua sana ng'ambo ya Mji Mkongwe.

Tazama Pia

Picha


Marejeo

Viungo vya nje

Jiji Zanzibar 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Jiji Zanzibar  Stone Town travel guide kutoka Wikisafiri

Jiji Zanzibar  Kata za Wilaya ya Mjini Unguja - Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja - Tanzania Jiji Zanzibar 

Amani | Banko | Chumbuni | Gulioni | Jang'ombe | Karakana | Kidongo Chekundu | Kikwajuni Bondeni | Kikwajuni Juu | Kilimahewa Bondeni | Kilimahewa Juu | Kilimani | Kiponda | Kisimamajongoo | Kisiwandui | Kwaalimsha | Kwaalinatu | Kwabintiamrani | Kwahani | Kwamtipura | Kwamtumwajeni | Kwa Wazee | Magomeni | Makadara | Malindi | Mapinduzi | Maruhubi | Masumbani | Matarumbeta | Mboriborini | Mchangani | Meya | Miembeni | Migombani | Mikunguni | Mitiulaya | Mkele | Mkunazini | Mlandege | Mnazimmoja | Mpendae | Muembeshauri | Muembetanga | Muungano | Mwembeladu | MwembeMadema | Mwembemakumbi | Nyerere | Rahaleo | Saateni | Sebleni | Shangani | Shaurimoyo | Sogea | Urusi | Vikokotoni

Jiji Zanzibar  Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Zanzibar (Jiji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.

Tags:

Jiji Zanzibar JinaJiji Zanzibar Mji MkongweJiji Zanzibar Tazama PiaJiji Zanzibar PichaJiji Zanzibar MarejeoJiji Zanzibar Viungo vya njeJiji Zanzibar

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya kampuni za TanzaniaWayback MachineMuundo wa inshaStadi za maishaChristopher MtikilaUlumbiJamhuri ya Watu wa ChinaPalestinaSaratani ya mlango wa kizaziMtakatifu MarkoTovutiMeliBikiraAlfabetiJinsiaWamasaiBarua pepeJinaUnyevuangaVivumishiAbrahamuUfahamuAli KibaMitume wa YesuSimuAntibiotikiInsha za hojaKitenziBiasharaNgono zembeJacob StephenDawatiBiolojiaRaiaNileAgostino wa HippoZakaMawasilianoMkoa wa SimiyuOrodha ya Marais wa UgandaMwanzo (Biblia)WangoniVitenzi vishiriki vipungufuSexWapareUpinde wa mvuaLugha za KibantuWhatsAppUNICEFMwamba (jiolojia)MshubiriSodomaHussein Ali MwinyiOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaUlayaUpendoMnyoo-matumbo MkubwaHisiaMkutano wa Berlin wa 1885SadakaMethaliLuhaga Joelson MpinaHistoria ya TanzaniaRisalaPentekosteUchaguziFananiTambikoHadithiMfumo katika sokaHifadhi ya SerengetiOrodha ya milima mirefu dunianiUkooAsidi🡆 More