Unesco: Wakala maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa elimu, sayansi na utamaduni

UNESCO ni kifupisho cha United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization yaani Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa.

Unesco: Wakala maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa elimu, sayansi na utamaduni
Bendera ya UNESCO

Ni kitengo cha Umoja wa Mataifa ambacho kinashughulika habari za elimu, sayansi na utamaduni duniani.

Kisheria UNESCO ni shirika la kujitegemea lenye madola wanachama 191.

Kati ya shughuli muhimu za UNESCO mojawapo ni Orodha la Urithi wa Dunia linalojumlisha mahali penye umuhimu wa pekee kihistoria, kisayansi au kiutamaduni.

Nchi zote zina mahali angalau moja orodhani, nyingine zina pengi, hasa Italia na Hispania.

Viungo vya nje

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vielezi vya idadiDar es SalaamMvuaKiambishi tamatiRitifaaMwenge wa UhuruViwakilishi vya kuulizaNikki wa PiliMzunguLingua frankaMkoa wa MtwaraMkoa wa RuvumaOrodha ya Marais wa UgandaMkutano wa Berlin wa 1885AbakuriaSilabiInsha ya kisanaaNandyLigi Kuu Uingereza (EPL)BinadamuTupac ShakurNgome ya YesuBaruaPaul MakondaUandishi wa barua ya simuKomaNelson MandelaFutiKumamoto, KumamotoMtume PetroKalenda ya KiislamuMajigamboKipepeoSaida KaroliKinywaMtakatifu PauloRufiji (mto)VitendawiliMbuMartha MwaipajaMbuniKunguruTasifidaDhahabuBukayo SakaMbaraka MwinsheheAsidiHadhiraDNASerikaliKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaMapinduzi ya ZanzibarKamusi ya Kiswahili sanifuSanaaMwakaJuxKaaIsimujamiiOrodha ya mito nchini TanzaniaKinembe (anatomia)Julius NyerereMaarifaHifadhi ya Taifa ya NyerereYouTubeUchimbaji wa madini nchini TanzaniaNairobiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaShangaziMkanda wa jeshiYoung Africans S.C.Marie AntoinetteTabainiSimbaUtandawaziUenezi wa Kiswahili🡆 More