Mazoezi ya mwili (kwa Kiingereza physical exercises) ni vitendo vinavyofanywa aghalabu na watu au mtu ili kuuweka mwili katika hali ya afya nzuri na kuwa tayari kwa ajili ya jambo maalumu.
Inafaa uanze mazoezi hayo kwa dakika kumi kama mwili wako haujazoea kufanya mazoezi. Polepole, ongeza wakati huo uwe dakika mia na hamsini.
Mazoezi yana umuhimu sana katika mwili wa binadamu kwa kuwa:
Kwa sababu hizo tunashauriwa kufanya mazoezi ili miili yetu iwe imara na yenye afya nzuri. Tunashauriwa tufanye mazoezi kila asubuhi na mchana, kwa kunyoosha viungo kwa namna mbalimbali, ili kupunguza mawazo, na pia ili kuuweka mwili sawa, kuongezeka kwa ukuaji, kuzuia kuzeeka, kuimarisha misuli na mfumo wa moyo, kuvumilia ujuzi wa mashindano, kupoteza uzito, na pia kufurahia.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mazoezi ya mwili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mazoezi ya mwili, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.