Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Mwili" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Mwili ni kile kinachofanya binadamu aonekane na kuishi katika ulimwengu, kwa kufanana na wanyama ambao pia wana mwili. Tofauti kubwa iliyopo kati ya viumbehai... |
Viungo Vinavyosafisha Mwili (kwa Kiingereza Excretory Organs) ni viungo katika mwili wa binadamu na wanyama ambavyo vinahusika katika utoaji wa taka mwilini... |
Taka mwili ni uchafu unaotolewa nje ya mwili wa binadamu na wanyama baada ya kuchujwa: ni kama vile kinyesi, mkojo, jasho. Kutoa taka za mwili... |
Mazoezi ya mwili (kwa Kiingereza "physical exercises") ni vitendo vinavyofanywa aghalabu na watu au mtu ili kuuweka mwili katika hali ya afya nzuri na... |
Kujenga mwili ni mazoezi yanayofanywa ili kudhibiti na kukuza misuli. Wanaojenga misuli si tu mazoezi wanayofanya bali pia hutumia lishe maalum ili kuipa... |
Mwili wa mwanadamu ni muundo mzima wa mwanadamu upande wa mwili, bila kuzingatia roho inayoweza kuuhuisha. Unajumuisha aina mbalimbali za seli ambazo... |
Mto Mwili ni kati ya mito ya mkoa wa Ruvuma (Tanzania Kusini) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia mto Rufiji. Mito ya Tanzania Orodha... |
Mwili wa Kristo ni namna ambayo Mtume Paulo na wengineo walichambua fumbo la Kanisa kama umoja wa waamini wote, ukiwa na Yesu kama kichwa chake. Ndiye... |
Kutoa taka za mwili ni mchakato ambao taka za umetaboli na vifaa vingine visivyofaa vinaondolewa kutoka kwa viumbehai. Kutoa taka mwili ni mchakato muhimu... |
Ngozi (Kusanyiko Mwili) ya neno hili linganisha ngozi (maana) Ngozi ni ganda la nje linalofunika mwili wa mnyama au binadamu. Aina mbalimbali huwa na aina za ngozi tofautitofauti... |
Mkono (Kusanyiko Viungo vya mwili) Mkono ni kiungo cha mwili kinachoanza penye bega na kuishia penye kiganja na vidole. Huwa na sehemu mbili ambazo ni mkono wa juu na kigasha zinazounganishwa... |
ni mwili wa binadamu aliyekufa. Mwili wa mnyama aliyekufa huitwa mzoga. Kifo kinaenda sambamba na mwisho wa michakato ya uhai katika seli za mwili. Molekuli... |
kustawisha uhai wao. Ni kwamba mwili unahitaji virutubishi, nishati na maji. Hayo yote hupatikana katika chakula. Virutubishi vya mwili ni hasa yafuatayo: protini... |
Hewa safi (elekezo toka kwa Jinsi ya kuboresha akili na mwili wako na hewa safi?) na mashambulizi mengine kwa mwili. Zaidi ya zoezi unazofanya, seli nyingi za damu nyeupe mwili wako huzalisha na hivyo mwili wako huwa sugu zaidi dhidi... |
Fumbatio (Kusanyiko Viungo vya mwili) Fumbatio (pia: tumbo au kiwambotao) ni sehemu ya mwili inayounganisha kifua na fupanyonga. Ndani yake kuna ogani za mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.... |
au maradhi ni hali ya mvurugo katika utendaji wa kawaida wa shughuli za mwili na roho inayoathiri vibaya ustawi au starehe ya kiumbehai. Hivyo hakuna... |
Mkundu (Kusanyiko Mwili) Mkundu ni sehemu ya mwili wa binadamu ambapo mavi hutoka utumbo. Katika maumbile ya mwili ni mwisho wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.... |
Shingo (Kusanyiko Viungo vya mwili) Shingo ni sehemu ya mwili wa mnyama au binadamu inayounganisha kichwa na kifua.... |
Maambukizo humaanisha kuingia kwa vidubini katika mwili geni kama vidubini hivi vinabaki, vinazaa na kuenea. Maambukizo mara nyingi yanasababisha magonjwa... |
wadudu wengi. Mayai ya mamalia na wanyama wengine kadhaa hukua ndani ya mwili, katika uterasi kwa kawaida. Ni seli ambayo hutokana na kiumbe jike, ikiungana... |