Mpingakristo

Mpingakristo katika Biblia ni mtu au watu waliotabiriwa katika Waraka wa kwanza wa Yohane na Waraka wa pili wa Yohane kuwa watatokea kumpinga Yesu Kristo ili kushika nafasi yake.

Mpingakristo
Mpingakristo alivyochorwa na Luca Signorelli mwaka 1501; kanisa kuu la Orvieto.
Mpingakristo
Mpingakristo (kama mfalme upande wa kushoto) alivyochorwa na Herrad von Landsberg (mwaka 1180 hivi) katika Hortus Deliciarum.
Mpingakristo
Mpingakristo (sehemu ya mchoro wa ukutani katika Monasteri ya Osogovo, Masedonia Kaskazini. Maandishi yanasema "Wafalme na mataifa yote wakimsujudu Mpingakristo."

Badala yake Injili zinawazungumzia Makristo wa uongo na Waraka wa pili kwa Wathesalonike unamtaja "Mtu wa dhambi"

Katika Uislamu, anatajwa Al-Masih ad-Dajjal (المسيح الدجال) kama mmoja atakayetokea kudanganya binadamu kabla ya ujio wa pili wa nabii Isa bin Mariamu (Yesu).

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

  •  
  • Hazlitt, William (1778-1830) Translator (2007). Martin Luther on The Antichrist. Liskeard: Diggory. ISBN 9781846858048. 
  • Lindsey, Hal; Carole C. Carlson (1970). The Late, Great Planet Earth. Grand Rapids: Zondervan. ISBN 9780310277712. 
  • Miceli, Vincent P. (1981). The Antichrist. Harrison, New York: Roman Catholic Books. ISBN 9780912141022. 
  •  

Viungo vya nje

Mpingakristo  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mpingakristo kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Mpingakristo TanbihiMpingakristo MarejeoMpingakristo Marejeo mengineMpingakristo Viungo vya njeMpingakristoBibliaMtuWaraka wa kwanza wa YohaneWaraka wa pili wa YohaneYesu Kristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mwenge wa UhuruUsafi wa mazingiraUfugaji wa kukuRamadan (mwezi)MunguMkoa wa MwanzaRamaniTashdidiLionel MessiVirusi vya UKIMWIJumapili ya matawiOrodha ya viongoziVitenzi vishiriki vipungufuBasilika la Mt. PauloBungeTupac ShakurSaidi NtibazonkizaAdolf HitlerMapigo yasiyo ya kawaida ya moyoChatuMtandao wa kompyutaUsiku wa PasakaZama za MaweVitenzi vishirikishi vikamilifuMkanda wa jeshiUgonjwa wa uti wa mgongoKishazi tegemeziPasifikiMawasilianoNevaKilatiniMethaliFisiVivumishiJamhuri ya Watu wa ChinaUjamaaFonolojiaBoris JohnsonRaiaMkwawaMvuaMtiBenderaUandishi wa ripotiMbuga za Taifa la TanzaniaUkimwiMnara wa BabeliMaadiliWaanglikanaSiasaKito (madini)Jumamosi kuuBendera ya KenyaNyangumiUtapiamloVita Kuu ya Kwanza ya DuniaHistoria ya EthiopiaBaraza la mawaziri TanzaniaInshaLigi Kuu Uingereza (EPL)Afrika KusiniSinagogiWahayaMashuke (kundinyota)Makabila ya IsraeliAlama ya uakifishajiSaharaKiunzi cha mifupaKoffi OlomideNdegeKwaresimaNamba za simu TanzaniaMazingiraMashariki ya Kati🡆 More