Hidrojeni: Kipengele cha kemikali na alama H na nambari ya atomiki 1; dutu nyepesi na iliyo tele zaidi katika ulimwengu

Hidrojeni (ing. hydrogen) ni elementi ya kikemia yenye namba atomia 1 na uzani wa atomi 1.00794. Alama yake ni H. Ni atomi nyepesi kati ya elementi zote hivyo ina nafasi ya kwanza katika mfumo radidia

Hidrojeni (Hydrogenium)
Hidrojeni: Kipengele cha kemikali na alama H na nambari ya atomiki 1; dutu nyepesi na iliyo tele zaidi katika ulimwengu
Jina la Elementi Hidrojeni (Hydrogenium)
Alama H
Namba atomia 1
Mfululizo safu Simetali
Uzani atomia 1.00794
Valensi 1
Densiti 2700 kg/m3
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 14.02 K (−259.12°C)
Kiwango cha kuchemka 20.27 K (−252,88 °C)
Asilimia za ganda la dunia 0.88
Mtihani wa wigo wa hidrojeni

Hidrojeni ni elementi inayopatikana kwa wingi kabisa ulimwenguni lakini si duniani. Iko ndani ya maji na katika molekuli zote za mada hai.

Muundo wa atomi

Atomi za H zina elektroni moja tu inayozunguka kiini cha atomi. Hidrojeni ya kawaida ina protoni moja tu. Hii ni zaidi ya asilimia 98 ya isotopi zote za hidrojeni. Kuna pia isotopi yenye nyutroni moja au mbili katika kiini lakini zinatokea mara chache tu.

Kuna isotopi mbili zinazoitwa Duteri (deuterium) na Triti (tritium).

Kupatikana kwake ulimwenguni

Duniani kwa kawaida hakuna hidrojeni ya atomi moja moja hutokea kama gesi yenye molekuli za H2.

Masi ya jua letu ni hasa hidrojeni lakini pia sehemu kubwa ya masi za sayari kubwa yaani Mshtarii, Zohali, Uranus na Neptun. Kwa jumla asilimia 93 za atomi zote na asilimia ya masi katika mfumo wa jua letu ni H.

Hidrojeni: Kipengele cha kemikali na alama H na nambari ya atomiki 1; dutu nyepesi na iliyo tele zaidi katika ulimwengu  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hidrojeni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya UislamuKhadija KopaVivumishi vya ambaVirusi vya UKIMWIMoyoNguzo tano za UislamuOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaNomino za wingiKata za Mkoa wa Dar es SalaamMaliasiliHoma ya matumboUgonjwa wa kuambukizaUmoja wa AfrikaMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaMohamed HusseinMitume na Manabii katika UislamuTungo kishaziFalsafaVisakaleMkoa wa TaboraAfro-Shirazi PartyAfande SeleOrodha ya maziwa ya TanzaniaKinjikitile NgwalePhilip Isdor MpangoUfugaji wa kukuJinsiaGoba (Ubungo)Mohamed Gharib BilalClatous ChamaSteve MweusiUkimwiNamba tasaNgeliSumakuKiingerezaAina za udongoTabataKiraiUkristo barani AfrikaHekalu la YerusalemuTafsiriSanaaWilaya ya UbungoMwigizajiMisriMtandao wa kijamiiSaidi NtibazonkizaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaSoga (hadithi)Wilaya ya ArushaMikoa ya TanzaniaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaAfyaNangaHekimaManchester United F.C.MwakaMwanzo (Biblia)NandyAlgorithimu uchanguajiUzazi wa mpangoNgono zembeWagogoKinyereziOrodha ya Marais wa KenyaHarmonizeOrodha ya Watakatifu wa AfrikaTendo la ndoaNgano (hadithi)NetiboliMarekani🡆 More