Molekuli

Molekuli ni maungano ya kudumu ya angalau atomi mbili au zaidi.

Ni pia kitengo kidogo cha kila dutu. Kama molekuli inapasuliwa ni dutu tofauti zinazojitokeza.

Molekuli
Molekuli fulani inavyoonekana ikikuzwa.

Molekuli ni ndogo sana haionekani kwa macho.

Muungo atomia

Atomi ndani ya molekuli hushikwa kwa nguvu ya elektroni au muungo atomia. Maungano ya atomi katika molekuli hufuata maumbile ya atomi. Maumbile haya Kwa mfano atomi za hidrojeni huwa na nafasi moja ya kushikana na atomi nyingine, oksijeni huwa na nafasi mbili ya kushikana na atomi nyingine. Kaboni ina nafasi nne na naitrojeni ina nafasi tatu. Hapo ni sababu ya kwamba maji ni molekuli ya H2O yaani hidrojeni ina mkono mmoja na oksijeni ina mikono miwili hivyo atomi moja ya oksijeni ikishika atomi za hidrojeni (yenye mkono moja) mbili ni molekuli thabiti na imara hakuna mkono unaobaki.

Fomula

Fomula ya molekuli inaeleza idadi na aina ya atomi ndani ya molekuli. Kwa mfano sukari ina formula ya C6H12O6. Maana yake ni kwamba molekuli moja ya sukari huwa na atomi 6 za kaboni, 12 za hidrojeni na 6 za oksijeni.

Molekuli na hali maada

Katika gesi molekuli zina uhuru wa kuelea.

Katika gimba mango kila molekuli ina mahali pake.

Katika kiowevu molekuli zinakaa pamoja lakini ni rahisi kubadilishana nafasi.

Viungo vya Nje

Molekuli  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Molekuli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Molekuli Muungo atomiaMolekuli FomulaMolekuli na hali maadaMolekuli Viungo vya NjeMolekuliAtomiDutu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Aunt EzekielMadiniMishipa ya damuNg'ombe (kundinyota)NgamiaZabibuDhima ya fasihi katika maishaKiswahiliUkabailaSoko la watumwaJichoKitenzi kishirikishiMlongeAlomofuSwalaUkatiliKonsonantivvjndPalestinaIndonesiaKoloniUandishi wa ripotiUwanja wa Taifa (Tanzania)Misimu (lugha)DiniMajina ya Yesu katika Agano JipyaWizara ya Mifugo na UvuviManchester CityKaaAlfabetiLeonard MbotelaSodomaWapareVivumishi vya kuoneshaDar es SalaamTreniWaziriMkoa wa ManyaraMapenziVichekeshoMalariaKukiAlama ya barabaraniMfumo wa upumuajiInshaViwakilishi vya kumilikiAli Hassan MwinyiMbaraka MwinsheheKifaruMuungano wa Tanganyika na ZanzibarUmoja wa MataifaAdolf HitlerKipindupinduMwanza (mji)Wilaya ya Nzega VijijiniMasharikiShambaVielezi vya namnaNamba tasaViunganishiHistoria ya IranBaraza la mawaziri TanzaniaUkooSimu za mikononiKimara (Ubungo)Historia ya WapareSimba S.C.Kondomu ya kikeMmeaMkoa wa Dar es SalaamWahadzabeSamia Suluhu Hassan🡆 More