Nitrojeni

Nitrojeni ni elementi yenye namba atomia 7 katika mfumo radidia na uzani atomia 14.0067. Alama yake ni N. Ina elektroni 5 katika ganda la nje.

Nitrojeni (Nitrogenium)
Nitrojeni ndani ya chombo katika hali ya kiowevu ikiwa na halijoto chini ya -182.95 °C
Nitrojeni ndani ya chombo katika hali ya kiowevu ikiwa na halijoto chini ya -182.95 °C
Jina la Elementi Nitrojeni (Nitrogenium)
Alama N
Namba atomia 7
Mfululizo safu Simetali
Uzani atomia 14.0067
Valensi 2, 5
Densiti 1.251 g/L
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 63.15 K (−210.00 °C)
Kiwango cha kuchemka 77.36 K (−195.79 °C)
Asilimia za ganda la dunia 0,03 %
Hali maada gesi

Duniani haipatikani kama atomi za pekee lakini kama molekuli ya N2 inayounganisha atomi mbili za N. Katika hali hii ni gesi isiyo na ladha au harufu. Gesi hii ni sehemu kubwa ya hewa tunayopumua ambamo kuna asilimia 78 za nitrojeni na 21 % za oksijeni.

Nitrojeni imo ndani ya kila kiumbehai hakuna uhai duniani bila N. Shambani huongezwa kama mbolea kwa kukuza mimea.

Tazama pia

Nitrojeni  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nitrojeni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MachweoMtaalaAbrahamuSah'lomonMilanoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaHaki za watotoSkeliNafsiMethaliUnyagoMafumbo (semi)Muda sanifu wa duniaNg'ombeKilimanjaro (volkeno)MoscowKiongoziTetekuwangaKanye WestHekalu la YerusalemuMeliBendera ya KenyaNominoMbogaImaniWameru (Tanzania)Shukuru KawambwaUchawiHistoria ya UislamuBunge la TanzaniaMarie AntoinetteMwaniAfrika ya MasharikiMkoa wa PwaniMkoa wa ShinyangaGongolambotoKinyongaRita wa CasciaVivumishi vya -a unganifuMajigamboMaana ya maishaDodoma (mji)KomaDhima ya fasihi katika maishaVielezi vya mahaliUhuru wa TanganyikaUlumbiMapambano ya uhuru TanganyikaOrodha ya Marais wa MarekaniVichekeshoWikipediaJokate MwegeloKimeng'enyaMitume wa YesuSimu za mikononiLuhaga Joelson MpinaMkoa wa KigomaOrodha ya nchi za AfrikaTashihisiAfrika KusiniMusaVidonda vya tumboJohn MagufuliWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiPaul MakondaUsanifu wa ndaniMkoa wa SingidaPichaChumba cha Mtoano (2010)Muungano wa Tanganyika na ZanzibarMwana FANgono zembeMahakamaRisalaKiambishi🡆 More