Justus Von Liebig: Mwanakemia wa Ujerumani (1803-1873)

Justus Freiherr von Liebig (12 Mei 1803 - 18 Aprili 1873) alikuwa mkemia wa Ujerumani ambaye alitoa mchango mkubwa katika kemia ya kilimo na biolojia, na anachukuliwa kuwa mwanzilishi wa kemia hai (organic chemistry).

Justus Von Liebig: Mwanakemia wa Ujerumani (1803-1873)
Justus von Liebig.

Kama profesa katika Chuo Kikuu cha Giessen, alipanga mbinu za mafunzo ya kisasa ya maabara, na kwa ubunifu ule, anaonekana kama mmoja wa walimu bora wa kemia wakati wote huko Ujerumani.

Liebig alianzisha mbinu mpya za uchambuzi wa vifaa vya kikaboni. Alionyesha kuwa, ili mimea ikue inahitaji maji, jua kaboni dioksidi, madini na nitrojeni. Aligundua kuwa nitrojeni ilikuwa kirutubisho muhimu cha mimea, na alitengeneza mbolea ya kwanza ya nitrojeni. Alielezea pia athari za virutubisho vingine kwenye mimea.

Justus Von Liebig: Mwanakemia wa Ujerumani (1803-1873) Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Justus von Liebig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

12 Mei18 Aprili18031873BiolojiaKemiaKemia haiKilimoMwanzilishiUjerumani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kassim MajaliwaUhuruSteve MweusiMwanaumeKakaHalmashauriWaluguruAmri KumiChakulaKiwakilishi nafsiAfrika ya MasharikiSitiariJiniMkoa wa ManyaraYoung Africans S.C.MaadiliUkuaji wa binadamuSerikaliNyanda za Juu za Kusini TanzaniaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaKisimaKiingerezaViwakilishi vya urejeshiBogaLondonHistoria ya AfrikaShangaziMmeaHadithi za Mtume MuhammadOrodha ya kampuni za TanzaniaMfumo wa mzunguko wa damuWahaHistoria ya WapareOrodha ya viongoziBurundiViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)SildenafilUjasiriamaliShukuru KawambwaBungeMaudhuiOrodha ya Watakatifu WakristoSadakaNamba za simu TanzaniaOrodha ya visiwa vya TanzaniaUmaskiniUtamaduniUtanzuSisimiziMaana ya maishaUkoloniVivumishi vya kuoneshaBara la AntaktikiUNICEFPesaMkoa wa ShinyangaMikoa ya TanzaniaAl Ahly SCUislamuMobutu Sese SekoMisimu (lugha)WazaramoShuleYesuHali ya hewaVivumishi vya idadiAbrahamuTelevisheniRose MhandoDhoruba🡆 More