Kifaa

Kifaa (kutoka kitenzi kufaa) ni kitu chochote ambacho kinaweza kutumika kufikia lengo fulani.

Kifaa
Vifaa viwili.
Kifaa
Vifaa mbalimbali vinavyotumika tangu muda mrefu kwenye maisha ya kila siku.

Zana zinazotumiwa na wanadamu katika kurahisisha kazi au shughuli zao katika eneo fulani zinaweza kuwa na sifa tofauti kama "chombo", "mashine" au "kifaa".

Baadhi ya mifano ya zana ambazo mara nyingi hutumiwa leo ni kisu, nyundo, bisibisi, koleo, simu na kompyuta.

Seti ya zana zinazohitajika kufikia lengo ni "vifaa". Maarifa ya kutengeneza, kupata na kutumia zana ni teknolojia.

Kuna wanyama wengine ambao hutumiwa na watu kama kifaa, kwa mfano siafu katika kutibu vidonda.

Matumizi ya zana huchangia utamaduni wa binadamu na yalikuwa muhimu tangu kale.

Katika maisha ya sasa huwezi ukafanya kitu bila kutumia kifaa au vifaa.

Kifaa Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KitenziKitu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NileWaziri Mkuu wa TanzaniaBiasharaMajigamboDar es SalaamOrodha ya Marais wa KenyaVasco da GamaKina (fasihi)MbuSayariMkoa wa TaboraKamusi ya Kiswahili sanifuVidonda vya tumboIlluminatiOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaLigi Kuu Tanzania BaraViwakilishi vya pekeeMjasiriamaliOrodha ya milima ya TanzaniaRwandaLigi ya Mabingwa UlayaAina za ufahamuVivumishi vya pekeeJoziUandishiLigi ya Mabingwa AfrikaMwanzoKanisa KatolikiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMsituMaradhi ya zinaaJumuiya ya MadolaHaki za binadamuRejistaMwanaumeJakaya KikweteIyumbu (Dodoma mjini)Orodha ya Marais wa TanzaniaNominoWema SepetuShairiNambaAfrika KusiniSarataniTume ya Taifa ya UchaguziAnwaniVitenzi vishirikishi vikamilifuUingerezaLugha za KibantuMazungumzoMpwaKilimanjaro (volkeno)Ukwapi na utaoJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMachweoSheriaMfupaUandishi wa inshaBunge la TanzaniaVivumishi vya jina kwa jinaTabianchi ya TanzaniaMauaji ya kimbari ya RwandaMtaalaMohamed Gharib BilalUpinde wa mvuaImaniHistoria ya UislamuUtumwaNandyNguruwe-kayaBara🡆 More