Kitenzi

Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya

Kuna ukurasa unaoitwa "Kitenzi" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.

Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • Kitenzi ni istilahi ya sarufi kwa maneno yanayotaja matendo kama vile kufanya, kwenda, kulala, kupiga, kuishi na kadhalika. Lugha nyingi zinatumia vitenzi...
  • Kitenzi kikuu kisaidizi (alama yake ya kiisimu ni: TS) ni kitenzi ambacho hukaa sambamba na kitenzi kikuu ili kukisaidia kukamilisha taarifa. Kitenzi...
  • Kitenzi sielekezi ni kitenzi ambacho hakipokei yambwa katika tungo. Mfano: Mtoto amelala. Neno amelala ni kitenzi sielekezi kwa kuwa neno hili likisemwa...
  • Kitenzi kikuu (alama yake ya kiisimu ni: T) ni kitenzi ambacho hutoa wazo kwa tendo ambalo linatendwa na nomino au kiwakilishi cha nomino. Mara nyingi...
  • Kitenzi kishirikishi (alama yake ya kiisimu ni: t) ni kitenzi ambacho hujulisha hali ya kuwepo au kutokuwepo kwa uhusiano/ushirikiano baina ya vipashio...
  • Kitenzi elekezi ni kitenzi ambacho huchukua nomino ya mtendwa (yambwa). Yambwa ni jina au nomino ambayo huwakilisha mtendwa katika tungo. Mfano: Mtoto...
  • kiisimu ni: E, ing. adverb) ni neno au maneno yanayotoa taarifa ihusuyo kitenzi. Maneno hayo (vielezi) huelezea/hufafanua na kupambanua au kuongeza maana...
  • ufafanuzi ambao unaenelezea namna au jinsi kitenzi (tendo) kinavyofanyika. Maneno haya hujulisha kuwa kitenzi hicho kinatumika namna gani au jinsi gani...
  • Thumbnail for Tungo
    Tungo ni neno au nomino inayotokana na kitenzi "tunga". Kutunga ni kuweka/kushikamanisha vitu pamoja kwa kutumia kitu kama kamba au uzi kwa kupitishia...
  • kiasi (alama yake ya kiisimu ni: E) ni maneno yanayofafanua kielezi kuwa kitenzi hicho kitemetendeka mara ngapi au kwa kiasi gani. Idadi hiyo inaweza kuwa...
  • Tungo kishazi ni tungo inayotawaliwa na kitenzi. Kitenzi hicho kinaweza kuwa kinajitosheleza kimaana au kisijitoesheleze kimaana vilevile. Kile kinachojitosheleza...
  • Ulinzi (pia: ulindaji; kutoka kitenzi kulinda) ni kazi au namna ya kuangalia usalama wa watu, mifugo, majengo na vitu vingine....
  • na kitenzi kinachojitosheleza kimaana. Yaani, ni tungo inayotawaliwa na kitenzi kinachotoa taarifa kamili. Kitenzi hicho kinaweza kuwa: (A) Kitenzi kikuu...
  • kujulisha mahali ambapo kitenzi hicho kinatendeka/kimetendeka. Mifano Mtoto amelala chumbani (mtoto = nomino ya kawaida, amelala = kitenzi kikuu, chumbani =...
  • (kifaa) – kifaa kinachotumika kuhifadhia kumbukumbu kwa njia ya sauti. Kanda(kitenzi) – tendo la kuminyaminya kwa kitambaa kilichochovya kwenye maji ya moto...
  • krasteshia anayeishi baharini na ana jozi tano za miguu. Kaa (Kitenzi) ni moja ya kitenzi kinachoashiria namna ya kupumzika kwenye kiti badala ya kulala...
  • Thumbnail for Mtunzi
    Mtunzi (kutoka kitenzi "kutunga"; kwa Kiingereza: composer, kutoka Kilatini compōnō, yaani "naweka pamoja") ni hasa mwanamuziki ambaye amebuni wimbo au...
  • Kiungo (kutoka kitenzi kuunga) ni neno linaloweza kumaanisha: kiungo (mwili) kiungo (chakula) kiungo (michezo) kiungo (tarakilishi)...
  • Thumbnail for Mchoro
    Mchoro ni neno la Kiswahili ambalo linatokana na kitenzi kuchora. Kwa lugha ya Kiingereza neno mchoro hujulikana kama picture, ambalo Waswahili wameligeuza...
  • neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha: Panda (kitenzi) – Ni tendo la kukwea katika miti. Panda (kitenzi) – Ni tendo la kuingia katika vyombo vya usafiri...
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Idi AminMisriMeta PlatformsMbuOrodha ya Watakatifu WakristoKima (mnyama)BikiraDakuUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaTanzania Breweries LimitedMbuga za Taifa la TanzaniaUajemiUfahamuMishipa ya damuYesuUgonjwa wa kuharaHistoria ya KiswahiliMkoa wa PwaniKahawiaPeasiTabataChuraTreniViwakilishi vya urejeshiNambaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaRobin WilliamsJuma kuuMwanaumeSiafuMlongeUgonjwaKiumbehaiDizasta VinaWayback MachineMkanda wa jeshiWapareNchiMuhammadKwaresimaTetekuwangaKitenzi kikuuYouTubeMongoliaAdhuhuriWasafwaUgonjwa wa kupoozaMalawiMfumo wa JuaNeemaIsimujamiiMungu ibariki AfrikaRihannaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaKipindi cha PasakaSamia Suluhu HassanWanyamweziPasifikiMofimuUlumbiSayariMsengeMikoa ya TanzaniaOrodha ya nchi za AfrikaAina ya damuKendrick LamarWiki FoundationKylian MbappéOrodha ya miji ya MarekaniNyegereBiasharaTashdidiSkeliWagogoJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUshoga🡆 More