Maarifa (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: competence) ni njia inayotumiwa kujitoa katika shida ama kuweza kupata kitu, kwa kutumia elimu au ujuzi.
Ujuzi huo unaweza ukawa wa kuzaliwa nao au ukatokana na mang'amuzi ya maisha yakiwa pamoja na kusoma, kusikia au kutenda.
Pia huhusisha ufahamu na uelewa, hususani wa ukweli, kama ulivyofundishwa au kuthibitishwa na Roho Mtakatifu.
Neno hilo linatumika pia kudokeza mbinu za ushirikina katika kufanikisha mambo kadiri ya matakwa ya mtu.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Maarifa, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.