Namba Sanifu Ya Kimataifa Ya Vitabu

Namba sanifu ya kimataifa ya vitabu (en:International Standard Book Number) inayojulikana kwa kifupi chake cha ISBN ni namba ya kipekee ya utambulisho wa vitabu viuzwavyo kibiashara.

Inasaidia kujua kwa uhakika ni kitabu kipi kinachoagizwa na mteja na kutumwa kutoka wachapishaji kwenda dukani.

Namba Sanifu Ya Kimataifa Ya Vitabu
Namba sanifu ya kimataifa ya vitabu (ISBN) kwa mwandiko wa tarakimu na msimbo pau

ISBN inapangwa kwa kila toleo na tofautisho (isipokuwa marekebisho) la kitabu. Kwa mfano, Kitabu cha kielektroniki, paperback na toleo gumu (hardcover) la kitabu kilekile kila moja itakuwa na ISBN tofauti. ISBN ina urefu wa tarakimu 13 kama iliwekwa kuanzia tarehe 1 Januari 2007, na urefu wa tarakimu 10 kama iliwekwa kabla ya mwaka 2007.

Namna ya kuweka ya ISBN inategemea taifa lenyewe na hutofautiana kutoka nchi hadi nchi, mara nyingi inategemea na ukubwa wa sekta ya uchapishaji ndani ya nchi. Kila namba inaweza kuonyeshwa kwa tarakimu au msimbo pau.

Tags:

Vitabuen:International Standard Book Number

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UnyagoBaraAfrika ya MasharikiRuge MutahabaLugha za KibantuVivumishi vya urejeshiVivumishi vya pekeeBiblia ya KikristoHerufiAlama ya barabaraniMunguMashuke (kundinyota)Maeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaWanyama wa nyumbaniKamusi ya Kiswahili sanifuViwakilishi vya kuulizaUbuddhaHistoria ya BurundiDolaMtakatifu PauloPamboViwakilishiAsili ya KiswahiliNandyAdolf HitlerDodoma MakuluFamiliaAfrika Mashariki 1800-1845Idhaa ya Kiswahili ya Radio TehranOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaShairiVihisishiUmoja wa AfrikaFasihiUajemiYouTubeOrodha ya Marais wa BurundiWanyamaporiShengMwakaSalaGazetiViganoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaBloguVolkenoBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiWikipedia ya KiswahiliMusaUongoziMkoa wa MwanzaOrodha ya nchi za AfrikaHifadhi ya Taifa ya NyerereSentensiUaInjili ya MathayoMichael JacksonOrodha ya Marais wa MarekaniVipera vya semiTendo la ndoaWamasaiMfumo katika sokaMsamiatiMatiniBongo FlavaMuunganoSanaaHistoria ya WapareHeshimaManispaaVirusi vya Corona🡆 More