Anatomia

Anatomia (pia anatomi, en:anatomy, kutoka Kigiriki ἀνατέμνειν anatemnein - kupasua, kufungua) ni elimu ya miili ya viumbehai kama binadamu, wanyama na mimea.

Inachungulia muundo na umbile la mwili na sehemu au viungo vyake.

Anatomia
Mondino dei Liuzzi, Anathomia, 1541

Wataalamu wa anatomia hufungua mwili na kuikata kwa sehemu zake kwa kusudi la kuongeza elimu ya muundo wake.

Elimu hii inasaidia kuelewa magonjwa, pamoja na sababu na matokeo yake. Ni pia msingi wa mafundisho ya tiba na elimu ya matibabu.

Marejeo

Tazama pia

Viungo vya nje

Anatomia  Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anatomia kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BinadamuElimuKigirikiMimeaMuundoMwiliViumbehaiWanyamaen:anatomy

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya Kanisa KatolikiKoloniLughaUNICEFMvua ya maweSteven KanumbaIsimujamiiNgw'anamalundiMivighaMartha MwaipajaWilaya ya ArushaWakingaInshaEdward SokoineOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaUshairiLilithNguzo tano za UislamuVita vya KageraNyangumiAmina ChifupaDaktariBikiraMaana ya maishaNileTenzi tatu za kaleJay MelodyVihisishiKipindupinduMapenzi ya jinsia mojaDini asilia za KiafrikaArsenal FCTamathali za semiMazingiraZabibuMadhara ya kuvuta sigaraKamusi za KiswahiliTafakuriPentekosteMajira ya mvuaVirusi vya UKIMWIHistoria ya IranHistoria ya ZanzibarKiumbehaiMahakamaRushwaUkoloniMilango ya fahamuBahari ya HindiGoba (Ubungo)Hafidh AmeirMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaMiundombinuUkooKiongoziKisaweJichoMagonjwa ya machoTreniKiswahiliMwanaumeMbuniDalufnin (kundinyota)Rufiji (mto)Papa (samaki)Matumizi ya LughaViwakilishi vya idadiOrodha ya vitabu vya BibliaDubaiDuniaMalariaHistoria ya UislamuMkoa wa MorogoroVivumishi vya pekeeHoma ya mafua🡆 More