Kidole Cha Shahada

Kidole cha shahada ni kidole cha pili mkononi.

Iko kati ya kidole gumba na kidole kikubwa. Kidole hiki kinatumiwa sana kwa mawasiliano kati ya watu.

Kidole Cha Shahada
Kidole cha shahada
Kidole Cha Shahada
Majina ya vidole vya mkono:
1 Kidole gumba, 2 Kidole cha shahada,
3 Kidole kirefu, 4 Kidole cha pete, 5 Kidole cha mwisho

Kwanza hutumiwa kwa kukilenga kwa kitu kwa kwa mtu kwa kusudi la kumaanisha: Ndiye huyu, ndicho hiki! Pia kinadokeza mweleko au upande. Kwa lugha mbalimbali jina la kidole hiki ni "kidole cha kuonyesha" (kiing. index au pointer finger, kijer. Zeigefinger).

Matumizi mazuri hutegemea na utamaduni.

  • Kuna utamaduni mbalimbali ambako ni mwiko au tabia mbaya kukilenga kwa mtu.
  • Kama mkubwa anakitumia kwa wadogo ni kama onyo: "Usifanye tena hivyo!", "Si vizuri hivyo".
  • Kidole hiki kinatumiwa pia kuonyesha namba "1".
  • Kinaweza kumaanisha ushindi; katika Kenya alama ya kidole cha shahada kilitumiwa kama alama ya chama cha KANU.


Sehemu za Mkono wa binadamu

Bega * Mkono wa juu * Kisugudi * Kigasha * Kiganja * Kidole gumba * Kidole cha shahada * Kidole cha kati * Kidole cha pete * Kidole cha mwisho

Tags:

Kidole gumbaKidole kikubwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KihusishiLigi ya Mabingwa UlayaShairiBungeKitaluNusuirabuKiambishiSamakiWaheheOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaVatikaniWhatsAppMtiDawatiArusha (mji)UtamaduniWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiUkoloniIdhaa ya Kiswahili ya Radio TehranNgeliTenziUgonjwa wa kuharaWahaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniLigi ya Mabingwa AfrikaWakingaInsha za hojaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiUgonjwa wa ParkinsonVieleziKishazi tegemeziUgonjwaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaUtafitiMwanaumeYerusalemuMamlaka ya Mapato ya TanzaniaDubai (mji)RayvannyUundaji wa manenoVita Kuu ya Pili ya DuniaLahajaMbuMtaguso wa kwanza wa NiseaMwanga wa JuaFonimuNetiboliUlayaViunganishiZama za MaweOrodha ya majimbo ya MarekaniHaki za watotoUtataVivumishi vya kuoneshaMwanzo (Biblia)Fasihi andishiMtotoNdoa katika UislamuEe Mungu Nguvu YetuMbooAunt EzekielUngujaDhamiraSintaksiMkataba wa Helgoland-ZanzibarSumakuNgome ya YesuMasharikiUzazi wa mpango kwa njia asiliaWikipediaMfumo wa neva🡆 More