Bandar Seri Begawan ni mji mkuu wa Brunei kwenye kisiwa cha Borneo mwenye wakazi 46,229 (1991). Iko kwa 4°55'N na 114°55'E.
Jiji la Bandar Seri Begawan | |
Nchi | Brunei |
---|
Tangu kupatikana kwa utajiri wa mafuta ya petroli mji umepambwa na majengo mazuri kama vile jumba la Sultani, msikiti ya Sultan Omar Ali Saifuddien. Makumbusho ya teknolojia ya Kimalay na makumbusho ya historia ya Brunei.
Kuna pia viwanda vya fenicha na vitambaa.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bandar Seri Begawan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Bandar Seri Begawan, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.