Kathmandu

Kathmandu (kwa Kinepali: काठमाडौं, काठमान्डु) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Nepal wenye wakazi milioni 1.5. Iko katika bonde la Kathmandu kando ya mto Bagmati kwenye milima ya Himalaya kwa kimo cha mita 1,300. Miji ya Patan na Bhaktapur iko karibu. Mahali pake ni 27°43′N 85°22′E.

Jiji la Kathmandu
Nchi Nepal
Kathmandu
Mahekalu kwenye uwanda wa Durbar mjini Patan

Mji una mahekalu mengi mazuri ya Uhindu na Ubuddha pamoja na nyumba za kihistoria. Bonde lote la Kathmandu liliingizwa na UNESCO katika orodha ya urithi wa dunia.

Picha

Viungo vya nje

Kathmandu 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Kathmandu  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kathmandu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkanda wa jeshiViwakilishi vya kumilikiKenyaNyegeUhakiki wa fasihi simuliziJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoHadhiraMuundo wa inshaMbogaAlama ya barabaraniMajiInstagramHistoria ya TanzaniaMiundombinuAlama ya uakifishajiUandishiAli Hassan MwinyiSanaaSwalaWahaMkuu wa wilayaBabeliJuxMtume PetroPombeWayahudiMahindiKilimanjaro (volkeno)Dhima ya fasihi katika maishaVivumishi vya pekeeNikki wa PiliNg'ombe (kundinyota)SiasaBarua pepeMsokoto wa watoto wachangaViwakilishiWilaya za TanzaniaUjimaVivumishi vya idadiMkoa wa KilimanjaroMimba za utotoniRohoSentensiUkatiliViwakilishi vya pekeeKanisaAbrahamuMwanzoUtamaduniUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMaudhuiAbedi Amani KarumeWilayaMbooNguruweKinyongaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaIniUkwapi na utaoLugha ya taifaUrusiPalestinaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMartha MwaipajaMaji kujaa na kupwaKisukuruRufiji (mto)LatitudoAgano la KaleUgonjwa wa uti wa mgongoMisemoIsimuAfrika Mashariki 1800-1845Upendo🡆 More