Uhindu

Uhindu (kwa Kisanskrit: हिन्दू धर्म: Hindū Dharma; pia सनातन धर्म Sanātana Dharma) ni dini kubwa yenye asili katika Bara Hindi.

Uhindu
Alama ya Aum ni silabi takatifu katika Uhindu

Ikiwa na wafuasi milioni 900 ni dini ya tatu baada ya Ukristo na Uislamu kwa wingi wa waumini.

Nchi zenye Wahindu

Katika nchi za India, Nepal na Morisi na kwenye kisiwa cha Bali (Indonesia) wakazi wengi hufuata aina mojawapo ya Uhindu.

Vikundi vikubwa viko pia:

Jina

Neno Hindu linatokana na lugha ya Kisanskrit ambapo Sindhu ni jina la kale la mto Indus uliopo kwenye sehemu ya magharibi kaskazini ya Bara Hindi. "Hindu" imepatikana mara ya kwanza wakati wa karne ya 6 KK katika andishi la mfalme Darius I kwa maana ya "watu wa ng'ambo ya mto Indus (Kisanskrit: Sindhu). Hapa "Sindhu / Hindu" haina maana ya kidini bali ya kijiografia pekee.

Katika Kiajemi neno "Hindu" linamaanisha wakazi wa Uhindi pamoja na wafuasi wa dini kubwa ya nchi hiyo. Mnamo karne ya 11 milki iliundwa na Waajemi katika Bara Hindi iliyoitwa "Hindustan" na mji mkuu ulikuwa Lahore.

Baadaye Waingereza walipokea jina hilo kutoka Kiajemi, wakilitumia kwanza kwa nchi na baadaye hasa kwa wafuasi wa dini zisizo za Kiislamu, Kiyahudi wala Kikristo. Jina Hinduism (iliyoandikwa mwanzoni Hindooism) lilikuwa kawaida tangu karne ya 18 kwa kutaja falsafa na dini zenye asili ya India.

Marejeo

Viungo vya Nje

Uhindu  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Uhindu Nchi zenye WahinduUhindu JinaUhindu MarejeoUhindu Viungo vya NjeUhinduBara HindiDiniKisanskrit

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vivumishi vya kumilikiUnyagoShairiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniWanyamaporiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMkunduMkoa wa Shinyanga25 ApriliMkoa wa MbeyaAnwaniSadakaAlomofuDoto Mashaka BitekoWakingaHarmonizeMaishaRushwaDivaiJumuiya ya Afrika MasharikiMajeshi ya Ulinzi ya KenyaHomoniSumakuBaraza la mawaziri TanzaniaKiraiTanganyika (ziwa)Saidi NtibazonkizaKondomu ya kikeNdoa katika UislamuWamasaiUgonjwaMagonjwa ya machoMoscowHistoria ya KiswahiliBungeViwakilishiOrodha ya nchi za AfrikaMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiMoyoMagharibiBikiraSteve MweusiVita Kuu ya Pili ya DuniaShambaRicardo KakaJinaMbadili jinsiaJinsiaAmri KumiRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniUgonjwa wa kuharaTendo la ndoaMtandao wa kijamiiMuhimbiliVielezi vya namnaHafidh AmeirUmoja wa MataifaEl NinyoMimba kuharibikaLughaUzalendoStadi za lughaJose ChameleoneKiswahiliOrodha ya Marais wa TanzaniaAmfibiaWaziriRiwayaNyegeAsili ya KiswahiliArusha (mji)🡆 More