Himalaya ni safu ya milima kunjamano katika Asia, upande wa kaskazini wa Uhindi.
Ng'ambo ya pili ni nyanda za juu za Tibet (Uchina).
Himalaya ina milima mikubwa duniani. Milima 14 mirefu kabisa ya dunia iko Himalaya.
Milima yote iliyofika mita elfu nane juu ya usawa wa bahari iko katika safu ya Himalaya:
Ndani ya milima hii ya Himalaya kuna sehemu ambayo ni ya tatu duniani kwa kuwa na sehemu kubwa yenye barafu na theluji baada ya Antaktika na Aktiki.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Himalaya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Himalaya, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.