Kinepali ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal, Uhindi na Bhutan inayozungumzwa na Wanepali.
Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kinepali nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 12,300,000. Pia kuna wasemaji 2,870,000 nchini Uhindi (2001) na 156,000 nchini Bhutan (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinepali iko katika kundi la Kiaryan.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinepali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kinepali, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.