Devanāgarī ni mwandiko unaotumiwa kwa kuandika lugha za Uhindi Kaskazini kama vile Sanskrit, Kibangla, Kihindi, Kimarathi, Kisindhi, Kibihari, Bhili au Kinepali cha Nepal.
Wakati mwingine hata Kikashmiri huandikwa nayo.
Devanagari huhesabiwa kati ya miandiko ya Abugida inayounganisha alama kwa herufi na alama kwa silabi. Mwandiko mtangulizi wake ulikuwa mwandiko wa Brahmi.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Devanagari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Devanagari, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.