Seoul

Seoul ni mji mkuu na mji mkubwa katika Korea ya Kusini.

Kihistoria na hadi mwaka 1945 ilikuwa mji mkuu wa Korea yote.

Seoul
Majengo ya kihistoria na ya kisasa mjini Seoul

Ina wakazi 10,276,968 kwenye eneo la km² 610.

Seoul iko kando ya mto Han katikati ya rasi ya Korea karibu na mpaka na Korea ya Kaskazini.

Jiji ni kitovu cha siasa, uchumi, utamaduni na elimu ya Korea Kusini.

Seoul ilikuwa mahali pa michezo ya olimpiki ya mwaka 1988.

Seoul Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Seoul kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1945Korea ya KusiniMjiMji mkuu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BikiraMkoa wa TangaNevaWabondeiMkuu wa wilayaUmoja wa AfrikaJumuiya ya MadolaAmri KumiKonokonoMbooKata (maana)TabainiKhadija KopaLongitudoBundukiDiplomasiaUlayaZanzibar (Jiji)TashihisiBaraza la mawaziri Tanganyika 1961Viwakilishi vya kumilikiMatendo ya MitumeSiasaOrodha ya mito nchini TanzaniaMitume na Manabii katika UislamuRisalaAfyaFananiOrodha ya Watakatifu WakristoMkoa wa MwanzaDar es SalaamOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaBarabaraUtawala wa Kijiji - TanzaniaKombe la Dunia la FIFAHoma ya matumboMnyoo-matumbo MkubwaSumakuAslay Isihaka NassoroAdhuhuriMishipa ya damuPesaNusuirabuWanyaturuFigoWawanjiKamusi elezoCherehaniMapinduzi ya ZanzibarKata za Mkoa wa Dar es SalaamUkooHali ya hewaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMethaliSilabiIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)TarakilishiLughaFonimuWanyamboUhakiki wa fasihi simuliziWaziri wa Mambo ya Ndani (Tanzania)Mkondo wa umemeVivumishi vya kumilikiTanganyika African National UnionMadhehebuKumamoto, KumamotoOrodha ya Marais wa ZanzibarMtotoHifadhi ya SerengetiMatiniUfupishoMiikka MwambaPasifikiMapambano kati ya Israeli na PalestinaKipepeo🡆 More