Manama ni mji mkuu wa Bahrain pia mji mkubwa wa nchi mwenye wakazi 150.000. Iko katika kaskazini ya nchi ambako kuna ardhi yenye rutba kiasi tofauti na jangwa tupu katika kusini.
Jiji la Manama | |
Nchi | Bahrain |
---|
Manama imejulikana tangu karne ya 14 ilipotajwa katika maandiko. Ilitawaliwa na Ureno katii ya 1521 hadi 1602, na Uajemi kati ya 1602 hadi 1783. Baadaye imekuwa makao ya familia ya kifalme ya Al-Khalifa inayotawala nchi. Tangu 1971 imekuwa mji mkuu wa Bahrain.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Manama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Manama, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.