Asia ya Mashariki ni kanda la bara la Asia linalojumuisha takriban 15% za eneo la bara lote.
Nchi zifuatazo huhesabiwa kuwa sehemu za Asia ya Mashariki:
Kiutamaduni nchi hizi zote zimeathiriwa na China jinsi inavyonekana katika maandishi, falsafa ya Konfutse, Ubuddha wa Mahayana na mtindo wa kula kwa kutumia vijiti.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Asia ya Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Asia ya Mashariki, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.