Amman

Amman (kwa Kiarabu: عمان ʿammān) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Yordani wenye wakazi milioni nne katika rundiko la mji.

Amman - عمان
Amman
Amman nchini Yordani
Habari za msingi
Mkoa Mkoa wa Amman
Anwani ya kijiografia Latitudo: 31º57'00" N - Longitudo: 035º 55' 59" E
Kimo 773 m juu ya UB
Eneo ?? km²
Wakazi milioni 4
Msongamano wa watu watu 2,380 kwa km²
Simu +962 (nchi), 6 (mji)
Mahali
Amman
Amman
Msikiti wa Mfalme Abdullah

Jiografia

Mji uko takriban km 40 kutoka ncha ya kaskazini ya Bahari ya Chumvi kati ya vilima vya Yordani ya kaskazini-magharibi.

Hali ya hewa ni afadhali kushinda mahali pengi pa Yordani kwa sababu ya kimo cha mji, hivyo joto halizidi mno.

Historia

Amman ni mji wenye historia ndefu iliyojulikana kwa jina la Rabat Amon wakati wa Biblia.

Ilistawi vizuri hadi nyakati za Dola la Roma ilipopambwa na majengo makubwa na mazuri yanayoonekana hadi leo.

Lakini umuhimu wake ulipungua siku za Wamuawiya na wakati wa kuundwa kwa Yordani palikuwa kijiji tu. Mfalme Abdullah bin al-Husayn alianzisha hapa mji mkuu wake. Hadi vita kuu ya pili ya dunia Amman haikuzidi wakazi 30,000.

Lakini mji ulikua haraka baada ya kuundwa kwa Israel kwa sababu wakimbizi wengi kutoka sehemu za Palestina zilizokuwa Israel walikimbilia Amman.

Kipindi cha pili cha kukua kilitokea tangu vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Lebanoni miaka ya 1975-1990. Sehemu kubwa ya benki na biashara kutoka Beirut ilihamia Amman iliyoendelea kuwa kitovu kipya cha biashara na uchumi upande wa mashariki wa Mediteranea.

Picha za Amman

Viungo vya nje

Amman 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Amman  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Amman kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Amman JiografiaAmman HistoriaAmman Picha za Amman Viungo vya njeAmmanKiarabuMilioniMjiMji mkuuYordani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Maambukizi nyemeleziTarakilishiHafidh AmeirChristopher MtikilaMobutu Sese SekoMbagalaBaraBiashara ya watumwaMagonjwa ya kukuRose MhandoAgano JipyaSakramentiKondomu ya kikeAthari za muda mrefu za pombeOrodha ya makabila ya TanzaniaMlima wa MezaVihisishiJoseph ButikuUbungoMwanaumeVirusi vya CoronaFamiliaMkoa wa DodomaChumba cha Mtoano (2010)HistoriaMvua ya maweMapenzi ya jinsia mojaNahauATanzaniaUkabailaMarekaniMethaliTarbiaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaManispaaManchester CityUkristo barani AfrikaShahawaMkoa wa LindiUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Cleopa David MsuyaKamusi za KiswahiliSumakuMahindiSiafuUfugajiOrodha ya milima ya AfrikaHistoria ya IranAnwaniZabibuIsimuWahaMkoa wa Dar es SalaamAfrika KusiniAsili ya KiswahiliSimbaOrodha ya mito nchini TanzaniaMizimuUkimwiMkoa wa MbeyaStashahadaUchumiRupiaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaStadi za lughaFutiNamba za simu TanzaniaShukuru KawambwaNguruwe-kayaTungo kishaziSinagogiPasifiki🡆 More