Kilomita

Kilomita (pia: kilometa) ni kipimo cha urefu.

Kinamaanisha urefu wa mita 1,000. Kifupi chake ni km.

Kilomita
Ufafanuzi wa awali wa kilomita

Kilomita ni kipimo cha kawaida katika maisha ya kila siku cha kupimia umbali usio karibu. Umbali kati ya miji hupimwa kwa kilomita.

Kilomita ni sehemu ya vipimo vya SI vyenye msingi wa mita.

Katika nchi mbalimbali kilomita imechukua nafasi ya vipimo vingine kama maili au verst.

Kwa umbali mkubwa mno kama kwa vipimo vya astronomia kilomita haifai tena. Hapo kuna vipimo vingine. Kwa mfano umbali kati ya mwezi na dunia inaweza kutajwa kwa kilomita ni lakhi tatu au km 300,000. Umbali kati ya Dunia na Jua ni km 150,000,000 na kwa umbali huo kizio cha kizio astronomia hutumiwa. Lakini umbali kutoka jua letu hadi nyota nyingine ni mkubwa mno. Hapa vipimo kama mwakanuru au pia parsek hutumiwa.

Tags:

KifupiKipimoMitaUrefu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MahakamaUzazi wa mpangoUtawala wa Kijiji - TanzaniaUnyenyekevuOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaNgono zembeHektariMtakatifu MarkoBloguJamhuri ya Watu wa ChinaTanganyika African National UnionMzeituniMimba kuharibikaHaitiUkristo barani AfrikaKiunguliaChakulaWilaya ya TemekeMkoa wa KilimanjaroVivumishi vya kumilikiHedhiEl NinyoOrodha ya milima ya TanzaniaBarua rasmiUfugajiUgonjwaManchester CityOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaMkoa wa SimiyuIdi AminMbeyaVivumishi vya sifaRayvannyPunda miliaJumuiya ya Afrika MasharikiShetaniMauaji ya kimbari ya RwandaMlima wa MezaTovutiAntibiotikiLahajaYesuMivighaMapinduzi ya ZanzibarVita ya Maji MajiUtumwaNdoaShahawaNdege (mnyama)Mbeya (mji)Julius NyerereMapenziHistoria ya KanisaMkuu wa wilayaDivaiKarafuuTungo sentensiVisakaleOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaUislamuBaruaMbwana SamattaKiboko (mnyama)Mtume PetroRamaniUbadilishaji msimboTanganyikaUchawiShengSiafuMtakatifu PauloKitenzi kikuu🡆 More