Kizio Astronomia

Kizio astronomia (ing.

Kinalingana na umbali wa wastani kati ya dunia na jua.

Kizio Astronomia
Mstari wa kijivu hudokeza umbali wa Dunia - Jua, ambao wastani wake ni takriban km milioni 150 umefafanuliwa kuwa kizio astronomia kimoja.

Urefu wake ni mita 149,597,870,691 au kwa kifupi takriban kilomita milioni 150. Umbali huu ni sawa na wastani wa umbali kutoka kitovu cha Dunia hadi kitovu cha Jua.

Vipimo vilivyo kawaida duniani kama kilomita vinaweza kutumiwa katika astronomia lakini vinaleta namba kubwa mno. Hivyo astronomia imebuni vipimo vyake vinavyorahisisha kutaja umbali wa magimba katika anga-nje. Mara nyingi astronomia hutumia kipimo cha mwakanuru kwa kupima umbali katika ulimwengu. Lakini kwa umbali za karibu zaidi jinsi ilivyo ndani ya mfumo wa Jua letu kizio astronomia kimechaguliwa.

63,241.077 vizio astronomia vinafanya mwakanuru 1.

Jina la sayari / gimba Umbali hadi jua
kwa vizio astronomia
Utaridi (Mercury) 0.39
Zuhura (Venus) 0.72
Dunia 1
Mirihi (Mars) 1.52
Mshtarii (Jupiter) 5.2
Zohari (Saturn) 9.58
Uranus 19.23
Neptuni 30
Ukanda wa Kuiper kuanzia 30
Pluto 39

Chombo cha angani kilichofika mbali hadi sasa ni "Voyager 1". Mwaka 2019 kilipita vizio astronomia 145 kutoka Jua, nje ya obiti ya Pluto na ukanda wa Kuiper.

Tanbihi

Viungo vya Nje

Tags:

DuniaElimuangaIng.Jua

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

April JacksonKiambishiItikadi kaliAgano JipyaAmfibiaKiraiOrodha ya Magavana wa TanganyikaNgonjeraWanyama wa nyumbaniMiundombinu ya kijani katika nchi ya Kenya, mji wa NairobiTahajiaRitifaaViganoShinikizo la juu la damuMatendo ya MitumeWhatsAppJulius NyerereOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaNamba za simu TanzaniaVielezi vya namnaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaBongo FlavaUfeministiYesuUandishi wa barua ya simuMishipa ya damuVivumishi vya urejeshiSalim KikekeMariooKito (madini)Mkoa wa ManyaraVivumishi ya kuulizaThamaniMmomonyokoKihusishiMsituMadiniPasaka ya KiyahudiUnyevuangaPemba (kisiwa)BungeVitendawiliKumamoto, KumamotoKalenda ya KiislamuMaumivu ya kiunoVivumishi vya sifaUgonjwaZodiakiNambaHistoria ya UislamuWamasaiUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaKiongoziKonsonantiOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaIsimujamiiMofolojiaAla ya muzikiKishazi tegemeziNamba tasaUandishi wa ripotiWabena (Tanzania)NgeliBloguWangoniDuniaMafua ya kawaidaTarafaPasakaWayahudi🡆 More