Doha (kwa Kiarabu: الدوحة ad-dawḥah) ni mji mkuu wa Qatar.
Jiji la Doha | |
Nchi | Qatar |
---|
Doha ni mji wa bandari mwambaoni mwa Ghuba ya Uajemi.
Idadi ya watu ni takriban lakhi nne (2005).
Doha iliundwa mwaka 1850 kwa jina la Al-Bida (mji mweupe).
Tangu kupatikana kwa mafuta ya petroli mji umejengwa upya ukiwa na nyumba kubwa na za kisasa kabisa.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Doha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Doha, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.